Huyo daimond ni nani kwani......ni mjusi kama mijusi mingine tuu....by the way simchukii wala si mpendi in short hanihusuu!!!!! Nimpende amekuwa mume wangu? Nyweeeeeeee sina muda mimi ...... wew endelea kumpigia promo sijui kumsifia anaeza akakushirikisha ata kwenye video zake......
Hizi team hadi huku zimefika kweli huyu dada image inachafuliwa na hawa wanaojifanya team wema, unapokuja mtandaoni bila facts na kuanza kukebehi maoni ya watu unasahau kama yule ni kioo cha jamiii kujadiliwa ni lazima sioni kama kuna sababu ya nyie team fulani kutengeneza uhasama usiokuwa na sababu, jengeni hoja ziwasilisheni msikilizwe na sio kuparamia na kutoa maoni kama mlioshtuliwa usingizini!
Wivu.com, roho ya korosho....wewe mjusi pia ndio maana wamuona yeye mjusi.
Daimond bwana ako??? Ana Zari na michepuko kibao.....tuliza mshono bibie tafuta mume wa kukuoa heheheeeheheeee utakufa ukiwa mjane ukishinda kwenye mitandao kumsifia daimond.....
Haya na ulioyaandika yakurudie kwanza thrn uje unijulishe inakuwaje.
Unalia unaumia kisa Diamond...unagusika ndani rohoni wewe na kutunga juu mwacheni Zari ndio Zari...mbona mlinyamaza kama kweli anapenda kuchepuka alupikuwa na W si mngemvua nguo...usipake mtu matope.
Wewe unahusika nimekusoma kila thread juu yake unalia machozi ya damu rohoni na kutamania mengi na alienae.
Nakusikitikia sana maana huandiki kitu kinachoeleweka sijui umeishia la ngapi weweee......kajifunze kuandika kiswahili vizuri ndo uje uni quote upooooo??? Mwambie domo akulipie ELIMU YA WATU WAZIMA ujifunze kuandika vitu vinavyoeleweka shost
Umenisomaa tanguu bilaa shidaa
Lmao
Nyweeeeeeee......ebu kale ugali tembele kabla haujachacha.....daimond kamkumbatia zake zari huko wew unapayuka payuka tuu huku....pole sana
Huyo daimond ni nani kwani......ni mjusi kama mijusi mingine tuu....by the way simchukii wala si mpendi in short hanihusuu!!!!! Nimpende amekuwa mume wangu? Nyweeeeeeee sina muda mimi ...... wew endelea kumpigia promo sijui kumsifia anaeza akakushirikisha ata kwenye video zake......
Nakusikitikia sana maana huandiki kitu kinachoeleweka sijui umeishia la ngapi weweee......kajifunze kuandika kiswahili vizuri ndo uje uni quote upooooo??? Mwambie domo akulipie ELIMU YA WATU WAZIMA ujifunze kuandika vitu vinavyoeleweka shost
Mpotezee fanya yako kila siku Wema mumwache amesha move on. Huyo Diamond kutwa kujipiga picha amuumize roho ila Wema kakuwa anafanya maendeleo.