Wema Sepetu: Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo

Huyo daimond ni nani kwani......ni mjusi kama mijusi mingine tuu....by the way simchukii wala si mpendi in short hanihusuu!!!!! Nimpende amekuwa mume wangu? Nyweeeeeeee sina muda mimi ...... wew endelea kumpigia promo sijui kumsifia anaeza akakushirikisha ata kwenye video zake......

Wivu.com, roho ya korosho....wewe mjusi pia ndio maana wamuona yeye mjusi.
 
Hizi team hadi huku zimefika kweli huyu dada image inachafuliwa na hawa wanaojifanya team wema, unapokuja mtandaoni bila facts na kuanza kukebehi maoni ya watu unasahau kama yule ni kioo cha jamiii kujadiliwa ni lazima sioni kama kuna sababu ya nyie team fulani kutengeneza uhasama usiokuwa na sababu, jengeni hoja ziwasilisheni msikilizwe na sio kuparamia na kutoa maoni kama mlioshtuliwa usingizini!

Rafiki acha utani, unasema timu wema wajenge hoja! ! Hata maana ya hoja wanaijua kweli? Waulize matusi uone kama utabaki. Mi sio siri naona wanaomfanya wema achukiwe ni hiyo team yake, ila mi simchukii kwasababu ni home girl wangu.
 
Wivu.com, roho ya korosho....wewe mjusi pia ndio maana wamuona yeye mjusi.

Daimond bwana ako??? Ana Zari na michepuko kibao.....tuliza mshono bibie tafuta mume wa kukuoa heheheeeheheeee utakufa ukiwa mjane ukishinda kwenye mitandao kumsifia daimond.....
 
Haya na ulioyaandika yakurudie kwanza thrn uje unijulishe inakuwaje.

Unalia unaumia kisa Diamond...unagusika ndani rohoni wewe na kutunga juu mwacheni Zari ndio Zari...mbona mlinyamaza kama kweli anapenda kuchepuka alupikuwa na W si mngemvua nguo...usipake mtu matope.

Wewe unahusika nimekusoma kila thread juu yake unalia machozi ya damu rohoni na kutamania mengi na alienae.
 
Nakusikitikia sana maana huandiki kitu kinachoeleweka sijui umeishia la ngapi weweee......kajifunze kuandika kiswahili vizuri ndo uje uni quote upooooo??? Mwambie domo akulipie ELIMU YA WATU WAZIMA ujifunze kuandika vitu vinavyoeleweka shost
 
Umenisomaa tanguu bilaa shidaa

Lmao
 
Umenisomaa tanguu bilaa shidaa

Lmao

Nyweeeeeeee......ebu kale ugali tembele kabla haujachacha.....daimond kamkumbatia zake zari huko wew unapayuka payuka tuu huku....pole sana
 
bora weye unayejisemea ukweli moyo upumue
 
Huyo daimond ni nani kwani......ni mjusi kama mijusi mingine tuu....by the way simchukii wala si mpendi in short hanihusuu!!!!! Nimpende amekuwa mume wangu? Nyweeeeeeee sina muda mimi ...... wew endelea kumpigia promo sijui kumsifia anaeza akakushirikisha ata kwenye video zake......

pole kidudu mtu
 
Unaweza ukatoa mimba moja na ukatokwa na kizazi au ikawa adhabu mwa mora
 
Kwa hio yuko proud kuua mtu mmoja?

Hajui kama ni kosa la jinai hilo?

Huyu kahaba kachanganyikiwa
 
Mi Naapa Wema Hawezi Kupata Mume Bongo Hii Au E.Africa Hii.Labda Akajaribu Bahati Yake Syria.Coz Hata Mjinga wa Mwisho Siku Hizi Hakubali Kuoa Kahaba.

Mwacheni Aendelee Kujifariji Na Mapaka Na Mambwa Anayofuga.Kizazi Kimeshaliwa Na Mchwa!
 
Kuachwa kuachwa,;kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaiidi kwa yule iliyempenda wewe unakonda yeye ananenepa kwa mawazooo oo kwa mawazoooo
 
Nakusikitikia sana maana huandiki kitu kinachoeleweka sijui umeishia la ngapi weweee......kajifunze kuandika kiswahili vizuri ndo uje uni quote upooooo??? Mwambie domo akulipie ELIMU YA WATU WAZIMA ujifunze kuandika vitu vinavyoeleweka shost

Jaman haya Mambo ya istagram hadi jf. Hahaaaa jaman raha.
 
Back
Top Bottom