Umeona enh me naona kajidharirisha tu hayo yote angekaa nayo moyoni kwakweli...
Wanataka mwenzao azae wakato hana ndoa eeeh
Mitanzania ni mipumbavu kupita maelezo, simshauri mwanamke yeyote kuzaa kabla ya ndoa labda afikishe miaka 40 na hajaolewa hapo ni sawa kama ataamuwa kuzaa.
Nchi hii mijitu inazidi kuwa masikini kwa kushabikia mambo yasiokuwa na kichwa wala miguu.

Sometimes a problem shared is the problem solved... huenda kwake kusema ukweli imempa nafuu moyoni, maumivu ya ndani sio mazuri
Mimi simwamini bwanaa
Mkuu mbona una lugha ya chooni sana?
Mitanzania na wewe included,dada mama baba nk zako....infact u are eating your own sh.it right there!
Na unavyoita wenzako masikini,wewe una outstanding liquid kiasi gani?Its very funny na vigari vyako vya kijapan,kinyumba kipo skwata baaasi unaita the rest of Tanzania masikini....u got problems brotha!
Amuoea nani? Labda martin kadinda
Mitanzania ni mipumbavu kupita maelezo, simshauri mwanamke yeyote kuzaa kabla ya ndoa labda afikishe miaka 40 na hajaolewa hapo ni sawa kama ataamuwa kuzaa.
Nchi hii mijitu inazidi kuwa masikini kwa kushabikia mambo yasiokuwa na kichwa wala miguu.
Hao uliowamention wamezaa kabla ya ndoa? au unawaitia umbea gani?
Kama yamekuuma chukuwa mto na shuka nenda Mandela road katandike ulale, shwain wahed kabisa.