Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Sio maneno yangu jaman, maneno ya Matola hayo, mie njumbe hvoooo, njumbe hauwawiiiii

na uwe tu na mbegu...make utaongeaaa kumbe mbegu unazo za mahindi tu shwain zako....
 
Last edited by a moderator:

Mfyuuu to you tooo... binamu niache ujue? Aliyekwambia umbea haramu nani? Basi kama ni hvyo dunia nzima sie haramu, maana ninavyojua mie umbea ni ugonjwa wa taifa
 
Binamu hao wanaitwa Ngoni tribe, ila mbona naona kama unanichonganisha na maswahiba wangu?

Wala sikuchonganishi binamu nimeukumbuka tu binamu , sijui Dinazarde na geniveros wanaujua huu wimbo? Leo nimeukumbuka sana sijui kwa nn yani 🏃🏃🏃

Wanawake wazuri wazuri wameolewa, wamebaki manunga maembe wanahangaika , ila nyie walikuwa wanajua kuimba si mchezo, nakumbuka nilikuwa nairobi miaka hyo, ni shidaaaa
 
Last edited by a moderator:
Binamu hao wanaitwa Ngoni tribe, ila mbona naona kama unanichonganisha na maswahiba wangu?

Ivi nitaupataje huu wimbo? Wazungu wanasema old is gold, tujikumbushe enzi izo kidogo, mana hawa masharobaro wa bongo fleva washanchosha
 
Binamu hao wanaitwa Ngoni tribe, ila mbona naona kama unanichonganisha na maswahiba wangu?

Nakumbuka nilikuwa namuimbiaga dada angu miaka hiyo kabla hajaolewa, akiniuzi tu naanza kuimba, alikuwa anachukiaje? Nikimkumbusha sasa ivi anacheka tu, wale ngoni sijui waliwazaga nini
 
Mfyuuu to you tooo... binamu niache ujue? Aliyekwambia umbea haramu nani? Basi kama ni hvyo dunia nzima sie haramu, maana ninavyojua mie umbea ni ugonjwa wa taifa

Ha ha ha haπŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜€
Kwa taarifa yako umbeya huko scandinavia ni haramu kabisa.Ivi binamu wewe hutombeshi eee
 
naikumbuka....we mwenyewe nungaembe tu ha ha ha umeoa???

Binamu lakini nini? Kwani maneno yangu hayo? Maneno ya ngoni tribe hayo 👌👌,mie njumbe hvyooo?? Kwani kuna sehemu aliyosema wanaume wasiooa? Mie nimesahau ivoo ebu nikumbushe huo mstari, mi nakumbuka ivi tu

Wanawake wazuri wazuri wameolewa, wamebaki manunga maembe wanahangaika 🏃🏃🏃🏃🏃
 
Ha ha ha haπŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜€
Kwa taarifa yako umbeya huko scandinavia ni haramu kabisa.Ivi binamu wewe hutombeshi eee

We binamu wewe kutombesha ndo mambo gani hayo? Khaaa!!!! Utanishindwa sasa ivi ivooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…