Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

huyo mwanae alijifungulia hospital gani? au kama ni nyumbani tujue kama alisajiliwa na RITA? sababu miaka ya mbele asije kugombea umiss kama mama yake umri ikaja kuwa utata, maana haya mambo ya kughushi umri.
 
Mama ubaya katisha yaan mbwa ndio aseme ana mtoto hahahaaaa nimeogopa wajameni
 
huyo mwanae alijifungulia hospital gani? au kama ni nyumbani tujue kama alisajiliwa na RITA? sababu miaka ya mbele asije kugombea umiss kama mama yake umri ikaja kuwa utata, maana haya mambo ya kughushi umri.
 
huyo mwanae alijifungulia hospital gani? au kama ni nyumbani tujue kama alisajiliwa na RITA? sababu miaka ya mbele asije kugombea umiss kama mama yake umri ikaja kuwa utata, maana haya mambo ya kughushi umri.
 
Huyu dada ndio maana nasemaga watu wanaomshabakia watakuwa na akili kama zake...maana sionagi kitu anacho wainspire watu..

kwanza hataki kazi kabisaaa, anapenda kushinda mitandaoni tu kuji-show off.
Wenzie akina nisha, odama wanafanya kazi za ukweli na yeye alikuwa juu sana ila sasa atawapata wapi.
Mabinti wanajituma sana wale kufanya kazi za kivyao na za ukweli. Sasa yeye amebakia na hela za kuhongwa tu na si za kazi anazofanya.
 
Hahahaaa eti uzungu wa kuiga....LOL!

ndio, uzungu wa kuiga.
Wabongo sie hatunaga mapenzi hayo kwa wanyama.
Anaiga huyo uzungu sasa bora angeiga uzungu kimoja, anaiga kidogo na kwengine ni full uswahili ulopitiliza.
Ila kama ameanza kuchambwa ista, inaonyesha watu wameshamchoka na drama zake.
Maana huko insta akisemacho wema ni sheria
 
Tusisahau na tigo ishaleaaaa,,ataaibika huyuuu bora awache kuzaaaa
 
Kuzaa ni maamuzi ya mtu bana....ana kizazi au hana that's none of anyone's business...muacheni madam bana
 
Sizitaki mbichi zile! aseme tuu Mungu hajamjaalia mwanamke uwe na mwanao japo mmoja kuitwa MAMA kutamu atiii....
 
kwahiyo ambao hawana ndoa wakizaa wamezalishwa........na ukiwa na ndoa ndiyo umezaa......kwahiyo tofauti iliyopo hapa ya kuzaa na kuzalishwa ni ndoa.....

Tunaita kuzalishwa tukiwa na maana kuwa mtu aliyetekelezwa, ukizaa means upo ndan ya ndoa, ndo maana tunasema fulan kazalishwa na bwana ake halafu katelekezwa, ukiolewa hatuwezi kusema kazalishwa, yan tunampa heshima kazaa
 
okay....usinichoke nataka kuelewa.....

mfano ukazaa ndani ya ndoa afu baada ya muda mwanaume akakutelekeza......hapo tunasemaje.....kazaa ama kazalishwa....maana ametelekezwa
 
Aliolewa akazaa ndani ya ndoa, still atakuwa alizaa then akaachika.

Wadada wengi wanaozaa nje ya ndoa wanadharaulika na kuonekana malaya
 
Mtoto wa kiislam anadai mbwa ndo mtoto wake...pathetic
 
Kwa wenzetu dunia ya kwanza mbwa ni member wa familia na anarithishwa mali. MTU ana Uhuru wa kuishi vile apendavyo sio vile mtakavyo. warumi mpaka wema amejibu hivyo watu walimuandama azae, oohh si uzae ....ohh sijui mini. Jana ameposti vitu vyake bado wavimba macho waosha vinywa wakaendelea kutomboka.
Watz tumezidi kujifanya sisi ndio standard kamili ya perfection. Hapa kuna mijitu imetoa mimba hadi vizazi vimegeuka tena ktk 20th ila wanamuona Wema tu ( tena kwa hisia tu). Hawa wanawake wanakusapoti warumi ila wengi wao hata vizazi huenda hawana vilishatiwa kwenye maji taka ila wameona cha Wema tu. Heri yako ww ni kidume.

Mnaamua kumprovoke huyu binti akijibu mnatake advantage ya jibu lake na kulifanya ishu. Kwa kifupi ndo alishaandika Kama kimemuuma MTU aebde soko LA kariakoo anunue gunia la ndimu na malimao akamue anywe maana kulamba haitoshi.
 
Last edited by a moderator:

I think this is feminine stuffs, eeh let me stay out of this cuzzo..

But wema kaongea very deep kwa kwel hadi anatia huruma. It pains
 
Nilijuaa tu ukija hapa lazima utuvurugee vutugueee
Heheeee ntoe mie mamiii nna katoto kammoja kakutolea jina la ugumba, pia naenda tafuta kapili sasa kwiii kwiiiiii
Ila wema mbona kasema kwa kuumia sanaaa sisi wanasaikolojia wa umbea tumeliona hilooi atakua na probleme ya kizazi kumeza sperm
Halaf madam mrembo ukome kutuandikia gazeti sie, ahsantee
 
Last edited by a moderator:
Aliolewa akazaa ndani ya ndoa, still atakuwa alizaa then akaachika.

Wadada wengi wanaozaa nje ya ndoa wanadharaulika na kuonekana malaya

ndio maana watu wanazitoaga kumbe ili kuogopa kudharaulika.ila mie najua mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu iwe ndani au nje ya ndoa
 
I think this is feminine stuffs, eeh let me stay out of this cuzzo..

But wema kaongea very deep kwa kwel hadi anatia huruma. It pains

Binamu ni wewe au kuna wema ndio anatumia account yako?Hicho kingereza baadae ututafsirie
 
ndio maana watu wanazitoaga kumbe ili kuogopa kudharaulika.ila mie najua mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu iwe ndani au nje ya ndoa

Ndio binamu, kuolewa ina heshima yake haijalishi huyo mwanaume ana kipato kizuri au lah, ukiwa kwenye ndoa tu watakuheshimu, utaitwa mke wa mtu au mume wa mtu.

Wadada wengi wanaozaa nje wanadharauliwa sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom