Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada ndio maana nasemaga watu wanaomshabakia watakuwa na akili kama zake...maana sionagi kitu anacho wainspire watu..
Hahahaaa eti uzungu wa kuiga....LOL!
kwahiyo ambao hawana ndoa wakizaa wamezalishwa........na ukiwa na ndoa ndiyo umezaa......kwahiyo tofauti iliyopo hapa ya kuzaa na kuzalishwa ni ndoa.....
Tunaita kuzalishwa tukiwa na maana kuwa mtu aliyetekelezwa, ukizaa means upo ndan ya ndoa, ndo maana tunasema fulan kazalishwa na bwana ake halafu katelekezwa, ukiolewa hatuwezi kusema kazalishwa, yan tunampa heshima kazaa
okay....usinichoke nataka kuelewa.....
mfano ukazaa ndani ya ndoa afu baada ya muda mwanaume akakutelekeza......hapo tunasemaje.....kazaa ama kazalishwa....maana ametelekezwa
Kwa wenzetu dunia ya kwanza mbwa ni member wa familia na anarithishwa mali. MTU ana Uhuru wa kuishi vile apendavyo sio vile mtakavyo. warumi mpaka wema amejibu hivyo watu walimuandama azae, oohh si uzae ....ohh sijui mini. Jana ameposti vitu vyake bado wavimba macho waosha vinywa wakaendelea kutomboka.
Watz tumezidi kujifanya sisi ndio standard kamili ya perfection. Hapa kuna mijitu imetoa mimba hadi vizazi vimegeuka tena ktk 20th ila wanamuona Wema tu ( tena kwa hisia tu). Hawa wanawake wanakusapoti warumi ila wengi wao hata vizazi huenda hawana vilishatiwa kwenye maji taka ila wameona cha Wema tu. Heri yako ww ni kidume.
Mnaamua kumprovoke huyu binti akijibu mnatake advantage ya jibu lake na kulifanya ishu. Kwa kifupi ndo alishaandika Kama kimemuuma MTU aebde soko LA kariakoo anunue gunia la ndimu na malimao akamue anywe maana kulamba haitoshi.

Aliolewa akazaa ndani ya ndoa, still atakuwa alizaa then akaachika.
Wadada wengi wanaozaa nje ya ndoa wanadharaulika na kuonekana malaya
I think this is feminine stuffs, eeh let me stay out of this cuzzo..
But wema kaongea very deep kwa kwel hadi anatia huruma. It pains
ndio maana watu wanazitoaga kumbe ili kuogopa kudharaulika.ila mie najua mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu iwe ndani au nje ya ndoa