Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Binamu ni wewe au kuna wema ndio anatumia account yako?Hicho kingereza baadae ututafsirie

Eeh wewe unadhan kwa nn watu wananikubali? Nimeenda shule binamu, naelewa psychology, najua kucheza na akil za watu, najua nn watu wanapenda, mie ndo warumi Mbea bei mbaya apa mjini aka first class, hahahh ahaha
 
Last edited by a moderator:

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hero herooooii hawatakiii wanye tikitiiii
 
Last edited by a moderator:
Nilijuaa tu ukija hapa lazima utuvurugee vutugueee
Heheeee ntoe mie mamiii nna katoto kammoja kakutolea jina la ugumba, pia naenda tafuta kapili sasa kwiii kwiiiiii
Ila wema mbona kasema kwa kuumia sanaaa sisi wanasaikolojia wa umbea tumeliona hilooi atakua na probleme ya kizazi kumeza sperm
Halaf madam mrembo ukome kutuandikia gazeti sie, ahsantee

Hahahahahahahahahahaha nafwaaaa mie... Dinazarde wangu weee hili la vizazi kubinuka hata halikuhusu mwaya wapo wahusika. Wema alisema kwa hasira kwani ni muda watu wanamwambia eti azae as if kuzaa ni kukojoa kwamba kila mtu akojoe tu ovyo. Yamemfika kooni ni Kama alivyojibu ile ya kajala kumuajiri.
 
Last edited by a moderator:
Ndio binamu, kuolewa ina heshima yake haijalishi huyo mwanaume ana kipato kizuri au lah, ukiwa kwenye ndoa tu watakuheshimu, utaitwa mke wa mtu au mume wa mtu.

Wadada wengi wanaozaa nje wanadharauliwa sana kwa kweli

Anadharaulikaje kama huyo baba mtoto anakuja kumuoa.mie naona kuzaa ndani ya ndoa ni vizuri zaidi japo ikitokea nje ya ndoa isijeikatolewa.wengi wamezaliwa nje ya ndoa na wamekuwa watu wazuri sana na msaada kwa mama aliyedharulika kwa kumzaa nje ya ndoa
 
Hahahahahahahahahahaha nafwaaaa mie... Dinazarde wangu weee hili la vizazi kubinuka hata halikuhusu mwaya wapo wahusika. Wema alisema kwa hasira kwani ni muda watu wanamwambia eti azae as if kuzaa ni kukojoa kwamba kila mtu akojoe tu ovyo. Yamemfika kooni ni Kama alivyojibu ile ya kajala kumuajiri.

Halaf mrembo siku hizii huangalii notification eeeeeee,wamkome kumwambia azae kwan watamsaidia kumlelea mwanaaa
 
Last edited by a moderator:
Halaf mrembo siku hizii huangalii notification eeeeeee,wamkome kumwambia azae kwan watamsaidia kumlelea mwanaaa

Ila atazaa tu subirini Vanilla akue. Nakuwa busy wakati flani ila pia Natumia simu mara nyingi so haioneshi ushirikiano vizuri kwenye swala notification.
 
Ila atazaa tu subirini Vanilla akue. Nakuwa busy wakati flani ila pia Natumia simu mara nyingi so haioneshi ushirikiano vizuri kwenye swala notification.

Kwa hiyo atazaa kambwa kengine etiiiiiii
 
Eeh wewe unadhan kwa nn watu wananikubali? Nimeenda shule binamu, naelewa psychology, najua kucheza na akil za watu, najua nn watu wanapenda, mie ndo warumi Mbea bei mbaya apa mjini aka first class, hahahh ahaha

Nimekupenda bure hebu sema utatumia moet au bia hizi zetu za uswahilini........lol
 
Last edited by a moderator:
apeleke huko na yeye mwanamke gan asiyependa mtoto...et mtoto wake mbwa..kha sa itakuaje mana nasikia hao mbwa wake wana kazi nyingi including zile za usiku ss madame ata muita huyo mbwa baby na hubby at the same time?sielewiiii
 
I think this is feminine stuffs, eeh let me stay out of this cuzzo..

But wema kaongea very deep kwa kwel hadi anatia huruma. It pains

Hahaha usikae pembeni muonee huruma mtoto wa mwenzako. Mkimuandama Sana siku utakuta amezaa na babako alafu ndo mama mdogo tena sijui utakimbia au
 
Hahaha usikae pembeni muonee huruma mtoto wa mwenzako. Mkimuandama Sana siku utakuta amezaa na babako alafu ndo mama mdogo tena sijui utakimbia au

Warumi anakunyaliiii weweee ndio maana kajitoa fastaaa
 
Back
Top Bottom