Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

Kwa kuwa yeye ndo nani? Waandish ndo tunaamua nani awe nan sio staa, staa bila mwandish n kaz bure binamu, wema anaweza kujiandika kweny magazet? Ustaa wa wema upo mikononi mwa waandish, haswa shigongo

Kafanikiwa kubreak ze internet.
 
inasikitisha kwa wasio na uwezo naomba Mungu awafungue wazae watoto wao waitwe mama na watoto wao wa kuzaa.

kwa wanao toa ki makusudi bila ushauri wa dk au kuhatarisha maisha hao anajua Mungu.

tabu ni pale wema sababu ya kuflash mimba ukidai hauko tayari...sababu unasema mwanaume hakufai anakuchukulia nyota... wenzako wanakuwa wanafurahia na wewe kumkomoa hata kwenda kuflash nchi zingine...yote haya haufati moyo wako unafata maneno ya watu ukidhani ndio umaarufu kumbe unazidi kuchuja...tena na kuachia ex-boyfi atukanwe kuwa hazai basi tu ufiche ukweli ulishapata mimba ukaflashi.

Mungu atusaidie katika maamuzi ya maisha yetu.
 
anatia huruma huko insta pole yake, ila na mungu nae anaangalia mtu unageuza mbwa watoto afu unataka mungu akupe mtoto kweli? kwanza asilalamike hazai anaangaika kutafuta mtoto hapati hali ya kuwa hajaolewa.. atulie aolewe ndo aanze kuhangaika kutafuta mtoto.
 
Ameshajitangaza nani achukue mjaza...ila mmmh pole yake
 
anatia huruma huko insta pole yake, ila na mungu nae anaangalia mtu unageuza mbwa watoto afu unataka mungu akupe mtoto kweli? kwanza asilalamike hazai anaangaika kutafuta mtoto hapati hali ya kuwa hajaolewa.. atulie aolewe ndo aanze kuhangaika kutafuta mtoto.

Amuoea nani? Labda martin kadinda
 
Sometimes a problem shared is the problem solved... huenda kwake kusema ukweli imempa nafuu moyoni, maumivu ya ndani sio mazuri

yeah sometime ni vizuri ila amwombe mungu Sana, amesema hawezi kumkufuru mungu basi na aache kuwafanya mbwa watoto iyo nayo ni kufuru tosha
 
Back
Top Bottom