Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

Maneno huumba nani alie kuambia huna uwezo wa kuzaa?kama ni daktari je awezaje kua na uwezo wa mungu?je wa mwamin mungu?bc kwa mungu hakuna umri wa uzee ipo siku mungu atakuonesha kwamba ni yeye ila ushaur mwamin mungu wako utende ya kumpendeza naye atakupendezesha kwa kilio chako kwake ili nawe uwe na raha uliokua una lilia
 

Wema ana sumbuliwa na maisha yake ya mtandao ndio maana ana tafuta huruma...yani atalia sana kama asipo chora mstari...........
 
Wambea wachawi jamanii walishasemaga wema ana tatizo la kuzaa leo kakiri mwenyewee aiseeee watu wachawiiii
 
Wasanii wetu wakibongo wanatatizo lakusoma walichosema mashabiki, ndomana alwayz wana end up with pain, jaribu kuangalia wasanii wetu wambele wanachofanya mfano Meek Mill
kapost picha ya mpenzi wake Nicki minaj hii apa

Meek Mill said:


Find a woman that you think is strong enough 2 help you takeover the world wit you! #hood #sexy #dimepiece #swimingpool #hustler #flymouth #richatheartandatpocket #beast #hitta #potna #imlucky @nickiminaj

Walichosema baadhi ya mashabiki angekua kama ni Nuhu Mziwanda kapost picha ya shilole ndo kaambiwa hivi angevunja ata simu, kwasabu yakupenda kufuatilia comment za mashabiki.

Lakini wenzetu wa mbele ata hawagive a shit with fans, ila hawa Wakina sepetu mpaka wafuatilie wee ndo yanawakuta kama haya.

haya maisha ya kutukanwa na kudhalilishwa ndio aliyo ya chagua na ndio matunda yake..akitaka kuondokana na haya matunda ni kubadili aina ya maisha anayo ishi na anatakiwa kuchora mstari kati ya maisha yake na maisha ya mitandao..
 
Yaan bora angenyamaza maana dogymasta atatukanwaa mno unajua dogy anamfanya wema atukanwe mnoo

Maisha haya ndio aliyo chagua Wema na yatamtesa sana asipo chora mstari...anageuza insta ndio chumba chake halafu ana lialia..
 
Wema ana sumbuliwa na maisha yake ya mtandao ndio maana ana tafuta huruma...yani atalia sana kama asipo chora mstari...........

Kweli tupu mateneger wanampotosha huko insta aache maagizo stress za daimond na Zari Zina changia akue
 
Kweli tupu mateneger wanampotosha huko insta aache maagizo stress za daimond na Zari Zina changia akue

Tatizo hawataki kumuambia ukweli kuwa hayo ni matokeo ya kugeuza mitandao ya kijamii kama sehemu ya familia yake au zaidi ya familia yake...
 

Tena matatizo makubwa hawaishi kama wao ila wanasikiliza mashabiki Wana poteza haswa waanje Hawa jali koment zao Wana move on na life style lao
 
Kiki.com
I love spotlight-Wema
Nyie zaeni mie bado mdogo.
Kwani nimeolewa?

kuliko kujiita "tanzanians sweetheart" boda angejiita "forever young" make tangu nisikie ana 26 ni muda now naona kabonyeza PAUSE kwenye kitufe cha umri wake
 
Very sorry for disappointment, that's how life is just hold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…