Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa


Aache kulalamika! Angekuwa na mume ndo aombe Mungu mtoto! Anaomba mtoto kupitia mahawara au waume za watu......? God is not that cheap Wema!
 
Hiv mnadhan mtu kukosa kuzaa ni kisa katoa mimba kuzaa majaliwa kama we umejaliwa mshukuru mungu usitus wenzio
 

Kakwambia hana mume waloolew na hawana uwezo wa kuzaa wao nao vip mamtu sijui mkoje kaaa mungu awaone tu huenda mtabadilika
 
Niliongea sana humu kina Heaven on Earth kina show me na wengine wakaniona mimi mkuda....Acheni kutoa mimba ...mwishoni yatawakuta kama ya huyu...mimba saba zote mtu unatoa.....utazaa tena>?
 
Last edited by a moderator:
This is a joke.Simwonei huruma na sidhan kama she meant it.

hapana best sidhani kama anatania, kama sikosei mwishoni mwa mwaka jana kuna mtu alishawahi muuliza kwenye one of her post kwanini hatafuti mtoto wake?? akamjibu wema yeye mwenyewe, akamwambia sio kwamba sitafuti tatizo kizazi, japo hakusema kizazi kinatatizo gani, so i guess anatatizo kweli. kwani sio mara ya kwanza kusema hana uwezo wa kuzaa
 
Kwaiyo Ommy anapanda mbegu kwenye mwamba?
 
Amejuaje kama hawezi kuzaa wakati hajaolewa? Wema nakushauri uolewe and then ukikosa mtoto ndo uje tukushauri zaidi. Unaweza kuwa hujapata mtoto labda kwa sababu unafanya uzinzi na Mungu hapendi.

Hivi we ni Great Thinker??

nani kakuambia ukishaoa au kuolew Tatizo la Kutozaa Linapotea.. Ndoa ni ALama Tu kama Wema Kashasema ameangaika Kutafuta Mtoto usidhani kuolewa ndo Solution

By the Way Nani ataoa? Wakati ameshafunguka Kuwa hana uwezo huo.. bora Angekuwa ndani ya Ndoa Halafu ya Kikristo. Ila kama Ni muislam Taraka nje nje
 
laana ya diamond hiyo!!mara oooh!platinum hana uwezo wa kumpa mtu mimba!leo hii wameanza kucomfess kwamba hawana uwezo wa kushika mimba na bado watayaongea yote.

Na kama kweli hana uwezo wa kushika mimba basi pole!!mbwembwe zote zile za kumpa CHIBU likizo kumbe jikoni kumeungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…