AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Umalaya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto😞😞😞... Kumbukeni na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani... Yaani mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu... Kwani kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die... Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu... I want dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But just dont rub it in... It hurts... And im jus a human being like each and everyone of u.... 😔😔😔
SOurce: Instagram
Hivi kwnn mnamchanganya mwenzenu....!!?
Hivi hata akimuamini Mungu tuuu atazaa bila kufanya sex au kuwa na Mume...!!!?? Sasa hivi Wema hana mume...Diamond kamwacha...sasa ATAZAAJE..!!?
YEYE atafute mwanamme afanye nae doggy style siku za hatari atashika mimba....
Sijui kwnn watu wagumu sana kufundisha watu wenye shida...unakuta mtu ana tatizo..badala ya kulitatua kwa njia sahihi ndio unampotosha kabisa...eti afunge na kusaliii tuuu...eboo..sala inaleta mimba..!!?
maneno yanaumba sana!!!https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/752650-wema-sepetu-sina-mpango-wa-kuzaa.html
piteni na hapo kabla ya kuanza ku sympathize nae.
Niliongea sana humu kina Heaven on Earth kina show me na wengine wakaniona mimi mkuda....Acheni kutoa mimba ...mwishoni yatawakuta kama ya huyu...mimba saba zote mtu unatoa.....utazaa tena>?
Wema katoa mimba 7? Umejuaje hilo?
This is a joke.Simwonei huruma na sidhan kama she meant it.
niliongea sana humu kina heaven on earth kina show me na wengine wakaniona mimi mkuda....acheni kutoa mimba ...mwishoni yatawakuta kama ya huyu...mimba saba zote mtu unatoa.....utazaa tena>?
we ndio ulikua unamtoa hebu kafie mbele
Amejuaje kama hawezi kuzaa wakati hajaolewa? Wema nakushauri uolewe and then ukikosa mtoto ndo uje tukushauri zaidi. Unaweza kuwa hujapata mtoto labda kwa sababu unafanya uzinzi na Mungu hapendi.
Mi sijasema kitu 😢😢
Pole wema mapito tu hayo utapata mtoto tu.
Imenikutia mbali sijasoma hata comments za watu