hakuna kitu kama hichooo!!Nasikia mond unataka kurudisha majesh kwa mama ubaya maana na yy usawa unakaba kila ngoma akiachia boko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona timu zipo nyingi?Kwani si wajiite team Watford[emoji23] [emoji23]
hivyo hvyo unavyosema tena yy ndo anazinufainisha hizo team maana mtu anatafuta followers kupitia wema akiwapata anaanza kufanya bizness za matangazo!kwa sasa hana jipya kishaanza kuhangaika hizo timu alionywa toka muda zinamuharibia hazikuwa na manufaa zaid ya kumharibia hapo ktk hizo timu unaweza kukuta hakuna hata mmoja anaetumia product zake akibuni
Wema Isack Abraham Sepetu!Ni Isaac au Abraham?
matilda rafiki yakeWah umewakomesha mbwa hao kabisa, sijui huko walipo watakua wanajisikiaje masikini, sio kwa vichambo ulivyowapa, wapi akina Matty kibokoyao kama nawaona vile, aaaaahha
AsanteeeWema Isack Abraham Sepetu!
Nimeona katukana hayo matusiii ahahhahahKuna audio clip kibao install, yani katukana balaa, hao team wema waamie kwangu tu
Kiba wala hajawahi kufanya ujinha huo!Bado Kiba nae ipo siku, team yake inamfanya afanye mambo kwa ushindani sio ubora kama tulivyomzoea.
Poleee.hana lolote huyo wema ndo mnafiki namba moja!
tatizo la wema ni short temper kitu kidogo kashapanik anaropoka hakai kuwaza
Leo ndo anaona team wema wabaya..
Aseme ameishiwa kiki sasa hivi!!
Kila kitu kina mwanzo na mwisho!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
team warumi!Kuna audio clip kibao install, yani katukana balaa, hao team wema waamie kwangu tu
Hivi unafikiri kwa nini Wema kaona team haina maana?Kiba wala hajawahi kufanya ujinha huo!
Acha chuki za kipumbavu
Kumbe nyie ndo mnakuza uhasama...!
Sasa kiba kashasemaga ana team?!!Hivi unafikiri kwa nini Wema kaona team haina maana?
Keshaifutaa..hakuna aliyeidakaa?!Nahis snapchat
Ingia insta utakayuta