Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Another kick 4 the new season...Wema bhana...
 
Lakini followers anawataka insta....., zero brain
 
Sasa kiba kashasemaga ana team?!!

Au wapi umeona kiba anaentertain hizo team!!

Acha mambo za kitoto hata km humpendi kiba sio kwa hvyooo!!

Tuacheni beef za kipumbavu na chuki za kijinga!
Naona unatoka povu bila kujua point yangu.

Maana yangu ni kwamba kuna team zinaundwa bila wenyewe kujua ndio maana wema kazitolea uvivu.

Kuna team Kiba huku mtaani nayo aitoelee uvivu sio kuiacha inamharibia soko.

BTW sina bifu na Kiba, then who am I kwa Kiba? Its just ushauri.. Sometimes soma vizuri dada.
 
Only Kiba ana team kati ya wasanii wote wa bongo?!!

Una chuki ndo maana katikati ya Uzi wa wema unaleta vitu vya kijinga!

Acha kumfananisha kiba na vitu vya kipuuzi!

Hakuna msanii asiye na timu
Ila team wema yy mwenyewe ndo alikua anawalea mpk kuwaalika Keene bday

Kiba wapi kafanya hvyo?

Sipendi watu mnaopenda kuona wasanii wanagombana au uchonganishi!

Kama hvyo wasanii wote wasiwe na teams
 
Ahahahahah nimeona nimecheka hatarii et hata hajui hao timu wema walitokeaga wapi hajui origin yao ,aiseee kajua kunikomeshea mbwa haya kwa hiyo na mrembo by nature katoswa
Rusha basi tuthbtshe...!
 
Anayefaidika na "timu" ni DIAMOND,kwanza anauza t shirt zake,kofia,pili zinahamasishana kuingia akifanya shoo,akitoa nyimbo kwenda kuitazama na kuinunua,kumpigia kura kwenye tuzo, kutangaza jina lake na kila kitu kuhusu yeye. Lakini wengine wote sioni timu zao zikiwanufaisha wasanii zaidi ya wao kupiga pesa za matangazo.
 
31k views
  • mangekimambi_Dogo unless Kama umeamua Kuwa madam Kama dadako hutaki Tena ustaa basi usiongee Maneno Kama haya. Hawa Team Wema Ndo wanaokufanya unakuwa Wema.. They are your fans. Bila fans you are not a star.
    .
    .
    Team Wema ilianza because watu walikuonea huruma sana baada ya kurekodiwa na Dai na Penny ile ya na utuache tulale.seriously hakuna star bila fans. Hata Beyonce ana team yake wanaitwa 'beyhive' hao ni noumaaa. Mchokonoe Beyonce uone uwiiiii wanang'ata Kweli Kama nyukiii.Nakumbuka the new song ile part ya Becky with the good hair huyo dada waliemuhisi Ndo Becky with the good hair alijutaaaaaa humu insta.. hao Beyhive walimtusiiiiii bila kosa, dada wa watu wala hajawahi Kuwa Na Jay Zee.Hii juzi Lemonade kukosa award hao Beyhive wamekinukishaaaa.Wewe fans wako ni Kama wa Beyonce wanakupenda mpaka wamepitiliza na hao team Wema Ndo wanaokufanya unaendelea Kuwa Relevant .Ngoja wakuchunie Kweli Kama unavyotaka uone Kama hujapotea kwenye ramani.
    .
    .
    mwenye kosa ni wewe. Hawa tema Wema hawajakuharibia Maisha yako, wewe umeyaaribu mwenyewe Kwa kuji associate personally Na team Wema. Hata siku moja Huwezi muona Beyonce Eti kawa personal friend Na mmoja wa beyhive wanaotukana watu online au birthday ya Beyonce Huwezi kukuta Eti kawaalika hao Beyhive wanaotukana watu kwenye mitandaoni Kwa ajili yake, Kwahiyo hakuna Mtu anaemchukia Beyonce Kwa ajili ya fans wake.Ila wewe mdogo wangu unakuwa friends Na hawa team Wema. Una waacknoledge Mara uwa-wish happy birthday, Mara Uko nao close. Wengine mpaka wanakujua undani wako Kwa mffano Matty. Nampenda sana MAtilda Ila kumbuka Matty alikuwa anatukana watu Kwa ajili yako vibaya mnoooo then suddenly akawa your personal friend Kila Mtu anaona ni Mtu wako, that's why watu Wana kuunganisha Na matendo ya team Wema au wanasema unawatuma.Seriously watu wanatukana watu online for you then kwenye birthday yako unawaalika unadhani wewe hutokuwa responsible Kwa matendo Yao??Pls be like Beyonce anawapenda fans wake Ila Hana personal relationship nao. Ila wewe mdogo wangu Team Wema mpaka Siri zako wanazijua mkizinguana wanakuchambua kwelikweli..
    .
    .Team Wema wanakuingilia mpaka Maisha yako personal sababu wewe umewakaribisha into your life.
  • didahns@amidah_mahmood
  • khadijaakadidebt wema dadangu u av to growup jiamulie mama dnt let ua mum akuamuliee sikwambie kwa ubaya lkn op u wont tek i kwa ubaya.
  • cassie2nyiYe mwenyewe anajichanganya @nitter26
  • loanyuniAisee una akili Sana
Like
 
Wema tatizo lake anataka kunyenyekewa kama Mungu Mtu

Hapendi kuambiwa ukweli,hapendi kushauriwa ndo maana Martin kajitenga kidogo angekua amamsikiliza Kadinda angekua mbali sana yule!
 
  • wakunyumbaestherHizi ndio gharama za kumpenda mtu....kwenye mapenz ya kweli misukosuko lzma iwepo kudhihirisha upendo wa dhati.,..tunaompenda wema kiukweli tunachukulia ni changamoto tu km vile vikombe vikiwa sehem moja visivyoacha kugongana.....hili nalo litapita na tutaendelea kumsuport mpk mwisho wa dunia....wema tunakupenda sana mama kuwa na aman .....chukua ushauri wa dada hapa na tuendelee kulisogeza gurudumu la maendeleo mbelee
  • daxx_cruzdailyMange amewafollow karibu wote jmn so wanajikuta kumjua kiundani awaonye tu wamezidi nao
  • abubamina01@mangekimambi_ ndio maana nakupenda una akili wee mwanamkemie nampenda sana wema ila kiukweli sipendi anavokua na msululu wa marafiki wa ajabu ajabu na ndio wanaomsababishia matatizo why hawezi kuishi maisha yake??kua na marafiki ambao wako busy na maisha yao mnakutana mara moja moja tena kwa masaa asa wee kubanana daily kaah @wemasepetu mdogo wangu jifunze kuishi maisha yako na msururu wa mashoga utakosa aman kila siku.ila mie nakupenda bhn sio team wemana nyie team wema mpunguze basi kuwa fans wake sio kumuingilia maisha yake ukiona anakuboa jst quit kwan lazima???tatizo wabongo tunapenda kuishi maisha ya watu kuliko maisha yako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…