Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Kajilia usichana na wengine kaanza kuchoka ndo ajitaftia pakujipumzisha aisee kuwa na Serengeti boy yataka moyo utaugua bure walah mana watoto wazuri waongezeka.
Wema alitegemea idriss amuoe kabisa hahaaaa jinsi alivo mkorofi na mjuaji.
 
Kiserengeti pia alikuwa na hamu ya kuchungulia wakubwa😀😀
 
Kajilia usichana na wengine kaanza kuchoka ndo ajitaftia pakujipumzisha aisee kuwa na Serengeti boy yataka moyo utaugua bure walah mana watoto wazuri waongezeka.
Wema alitegemea idriss amuoe kabisa hahaaaa jinsi alivo mkorofi na mjuaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaopoa mchuchu wa maana hatareee!!

aendeleze tu singeli zake!
 
He ndo shida ya kutafuta ucelebrity kwa nguvu..............SASA ANATAPIKA NYONGA
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna mtu kalengwa hapo.
Mi pia nataka alonizid sasa

Niende na trend sasa na mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

akuuuhh!!sijamsema Mtu

nendeni mkapigwe makofi na makonzi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper marioo a.k.a ganda la ndizi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha na mie nijaribu
Wenzangu wanafaidi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

akuuuhh!!sijamsema Mtu

nendeni mkapigwe makofi na makonzi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inategemea bhana, mbona domo hapigwi, zaid ye ndo anapuga mimba tuu
[emoji125]
 
Umefurahia [emoji1] [emoji1] ila carrymstory anamshabikia idriss long time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…