Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Wema Sepetu: Sitaki kusikia #teamwema, niacheni na maisha yangu

Exactly bimkubwa kala ujana sasa hivi zamu ya kijana mondi bin ladein kula ujana

Muache abebe mimba hizoo!!

Baba ale kwanza gudtime!

Wema nae akajibebesha idriss akajua ataolewa

Mwenzie huo umaarufu hajaenjoi nao hata xmass tatu hapa mjini!

Kapigwa chini!
Kajilia usichana na wengine kaanza kuchoka ndo ajitaftia pakujipumzisha aisee kuwa na Serengeti boy yataka moyo utaugua bure walah mana watoto wazuri waongezeka.
Wema alitegemea idriss amuoe kabisa hahaaaa jinsi alivo mkorofi na mjuaji.
 
Kiserengeti pia alikuwa na hamu ya kuchungulia wakubwa😀😀
 
Kajilia usichana na wengine kaanza kuchoka ndo ajitaftia pakujipumzisha aisee kuwa na Serengeti boy yataka moyo utaugua bure walah mana watoto wazuri waongezeka.
Wema alitegemea idriss amuoe kabisa hahaaaa jinsi alivo mkorofi na mjuaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaopoa mchuchu wa maana hatareee!!

aendeleze tu singeli zake!
 
He ndo shida ya kutafuta ucelebrity kwa nguvu..............SASA ANATAPIKA NYONGA
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna mtu kalengwa hapo.
Mi pia nataka alonizid sasa

Niende na trend sasa na mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

akuuuhh!!sijamsema Mtu

nendeni mkapigwe makofi na makonzi!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

akuuuhh!!sijamsema Mtu

nendeni mkapigwe makofi na makonzi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inategemea bhana, mbona domo hapigwi, zaid ye ndo anapuga mimba tuu
[emoji125]
 
Hahaah hata mm leo nitapata usngizi mzito hahah halafu kuna hyo anajiita carrymastory ni shoga yake wema na anaitw upendo huyo dada nahisi,nayeye amekomeshwa sana maana anajifanyaga anajua kutukana watu insta kis wema
Hehee maskin james delicious haah hadi akafunga safari mpk Tanga hahaa leo habar wanayo wapi mangeta kimambiii,wapu Tv1 weekend gossip maana wao n team wema hasa kale ka mimi mars sijui kandugu kake vanesa haha wapii matikibokoyaooo haahaha
Chaliiiiii
Umefurahia [emoji1] [emoji1] ila carrymstory anamshabikia idriss long time
 
Back
Top Bottom