Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

"nyoko zenu, nasema nyoko nyoko zenu"

Dah! Huyu mama kiboko.
 
Kero imezidi sanaaaaa......mtoto wa watu anashindwa kujamba kisa million 13.

Hiyo 13m ina siri yke ungekuta wema ameshadai tena mpka police ila kuna siri ndio mana hadai kakaa kimya tu,akidai kuna mengi yanaweza fichuka tena unaweza kuja hela haikua hata y ck.
Kuna mtu atakua alimpa wema hyo hela atoe then bibae nae kwa kutafuta kiki akaonekana n yeye katoa
 
Kero imezidi sanaaaaa......mtoto wa watu anashindwa kujamba kisa million 13.

We upo kama mimiii ningemrudishiaaa,si umesikiaa mtu anakaa kwako anakuibia mume mfyuuuuuu
Kajala uza gari moja rudisha hiyo hela la sivyo utasimangwaaaa ndio maana hua wanasema binaadamu hana msaada wa kutoa bila kinyongo
Kajala hapo mtoto watu atajinyamazia kimyaaa
 
Eti Kajala mshenzi na wazazi wake.....huyu mama mpuuzi.Kajala kama anajielewa arudishe hzo pesa.Tena kwa tarumbeta,upuuzi gani huo anafanya.

Ndioo arudishee yaan inaonyesha wamemchukiaa mbayaaa,,sasa hapo roho nzuri iko wapiii ya wema au alitafuta sifaa,pia kutaka awe anampelekeshaa kajala kwa analotakaaaa
 
Ndioo arudishee yaan inaonyesha wamemchukiaa mbayaaa,,sasa hapo roho nzuri iko wapiii ya wema au alitafuta sifaa,pia kutaka awe anampelekeshaa kajala kwa analotakaaaa

Sijawahi kuingilia hili bifu lakini natamani niwe katika kamati ya maandalizi yakurudisha hzo pesa.

Aandae shughuli maalum yakurudisha hzo pesa hata kama haitakuwa sawa na kipindi kile.
 

Kajala ana pesa hana sababu yakuuza gari...arudishe hzo pesa.Million 13 kitu gani.Yaani mama wema ana thubutu kumtukana mzazi wa Kajala kisa tu watoto wamekorofishana tena kwa mambo ya kipuuzi??

Nmesikitishwa sana na akili ya huyu mama....hakuna asiye na matusi bali kuheshimiana.Mama shenzi sana huyu
 

Wema hana nguvu ya kuidai ile pesa coz inajulikana alilipa faini yakumtolea Kajala.Ila tu imekuwa kero na mwiba mkali kwa Kajala.
 
Wema hana nguvu ya kuidai ile pesa coz inajulikana alilipa faini yakumtolea Kajala.Ila tu imekuwa kero na mwiba mkali kwa Kajala.

Yaan ni mateso bila chukiii,unajua alitaka amgeuze mbeba pochiii afanye anavyotakaa sasa wapi na wapii mimi kua bendera fata upepo noooo
 

Siku akirudisha pesa ntafurah mnoooo, yaan eti na wazazi wake hawana adabuu ye adabu ipiiiiiii aliyonayo mbona hajamfunda mwanae akaolewa akatuliaaa malaya wote tu haoo
 

Hebu nisaidie..ilo umbo ndo la kutufanya tusinywe maji???mama zetu wanamaumbo lake cha mtoto....mxeeeeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…