Hapa anatoa vitisho sijui kwa mapaparazi wa GP
Aisee yaan hapo kajijengea uaduii na hizo timu zao atashangaaa aisee sie yetu masikio mimi mama yangu hawez ongea hivyo hata siku mojaaa,na sijawah.msikiaa mtoto kama mama aisee kumbe hua tunamlaumu wema kumbe mama yake ndio hivyoo sasa hayo maswala ya shape kama ana miaka 12 ya ninii mtu mzima hivyoo,
Ndio maana nilisema Kajala kama ana akili amridishie zile milion zake atasimangwa mpaka basiii arudishe pesa wamalizanee
Eti kamuibia mume mume yupiii??? Mambo ya kipuuzi kabisaaa mbona ye alimuiba Sepetu kwan kajala wa kwanza kuiba hawara looo hii ni funga mwaka
Na nnya yake ,ulisikia pale kwenye umbo wema et kama memeeeee
Hivi umeona hapo kadiriki kusema wema aliibiwa mume...ck ni mume wa Wema toka lini????nilikua namchukia Wema kwa tabia zake lakin huyu mama kanitoka....sijawah sikia tusi kutoka kwa mama yangu mpaka umri huu nimeshangaa sanaaaa.,..
Nnya ya wema mwenzenu hata siielewagi.M.a.t.a.k.o marefuuuu yameanzia kiunoni mpaka nyuma ya magoti.Kwani hiyo nayo ni shepu?
Amerithi mpaka shepuuu...lol...mashaaalaaah m-----o manne mtt wa kike...
Shepu ya kabati.....hana shape yoyote.We mata.ko marefu kama ndala za mkwele wa mizengwe.
Sijawahi kuingilia hili bifu lakini natamani niwe katika kamati ya maandalizi yakurudisha hzo pesa.
Aandae shughuli maalum yakurudisha hzo pesa hata kama haitakuwa sawa na kipindi kile.
Hahahahah. miss strong utanishtua wakati mnazirudisha hizo pesa na mim nije....kajala yupo kimya...sio kama hawez but atleast anaonyesha she is matured kdg....ila wema na ***** ni matikit maji
kweli ck ni kiboko ona mama maneno yalivyomtoka ha ha ha
Hahahaa eti ndala za m.kwere.Umeona eeee!!
Yaani ashukuru urefu unamsaidia angekuwa mfupi yule angekuwa kituko hatariii!!
Hahahahah. miss strong utanishtua wakati mnazirudisha hizo pesa na mim nije....kajala yupo kimya...sio kama hawez but atleast anaonyesha she is matured kdg....ila wema na ***** ni matikit maji
Matured ni kweli na hata mimi mara ya kwanza nilikuwa si shaur hilo lakini nw nimegundua ipo sababu ya Kajala kurudisha hyo pesa.
Na asirudishe kimya kimya atupe taarifa....Wema ni wangapi umeshare nao bwana lakini mnaongea au kisa ulifulia??mwanaume umemuacha mwenyewe ukaenda kwa Diamond ulitaka CK akubembeleze wakat kifaa kajala yupo.
Lulu ulimualika na mlishare Kanumba,Jokate pia na mlishare Diamond iweje umvalie njuga kajala???
Kajala kama unajielewa lipa hyo pesa....ck endelea nae na hata bwana ake huyo Kijumoz akijileta tafuna pesa...mali ya umma haina mwenyewe.
Hahahahah. miss strong utanishtua wakati mnazirudisha hizo pesa na mim nije....kajala yupo kimya...sio kama hawez but atleast anaonyesha she is matured kdg....ila wema na ***** ni matikit maji
Hivi umeona hapo kadiriki kusema wema aliibiwa mume...ck ni mume wa Wema toka lini????nilikua namchukia Wema kwa tabia zake lakin huyu mama kanitoka....sijawah sikia tusi kutoka kwa mama yangu mpaka umri huu nimeshangaa sanaaaa.,..
Wema anajifanyaga kwao zipo wakat kuna shida tupu, mama yake mwenyew alikuwa anamtegemea ck maana ndomo mambo ya kuhonga ye hanaga, ndo atajiju mwanae mwenyew malaya
yaani hilo li mama limenitoka eti unaona shape yangu yaani nawasi wasi nae anafanya matangazo apate bwana. kajala dia.mlipe wema hizo hela asikukufanye mtumwa yaani mpaka anawatukuna wazazi wako. kama kweli upo na ck endelea nae nimekupa baraka zote.