Usiku bado mchanga huu Madame B.
Umeona tumewaacha weupe kama kwa la mtoto mchanga.
amu hajambo....ushosti wetu umerudi kama awali....aibu imebaki kwa wapambe....mbona watachambia mnukanuka mwaka huu....
Safi sana kama mpo pamoja,pm zenu zinatumika ndivyo sivyo.
haya baba...mwaga vitu
.....yaani hizi pm...acha tu.
Sema....niko Msondo Ngoma leaders....nakumbukia enzi zangu
Hahahaa......hivi kwa mfano mnawachonganisha watu wagombane....wakija kupatana wanajisikiaje!!!!
.....Nijibu
Kula raha bibie ,jasho lako mwenyewe.
Aibu kwao.....wachonganishi.Na je mama watoto wanapogombana ukamchapa mtoto wa jirani na mpaka ukamtukana mama wa huyo mtoto,baadae watoto wakaelewana na kucheza pamoja.Kama mama utajisikiaje???
yaani natamani hizo team mavi za wema waje huku waone kazi yaani wamefanya watu wote waione insta mbaya sababu ya tabia zao hafu sasa watu wenyewe nilivyoona picha zao siku ya birthday yaani sijui hata shule ka waliigusa looooh
Hahahahha......ningejinyonga
kwa kweli mpaka kieleweke mydiaa haaaa yanakera yale majitu yaani elimu, kujitambua ni vitu muhimu kwa wanawake wa kitanzania.
Hapa mama Wema akimponda Kajala
Hahahaa mama ana matusi huyu daaaah
Hpo itakua kweli wakti anakua mis alikua 18 baada y hpo ndio zikaanza sarakasi z kanumba,mr blue,tid,teja jumbe na wengineo.sasa mda w kusoma aupate wapi na mtoto genye zimejaa mpka kichwani ila kweli tabia zke z kurithi like mother like daughter.
Umri umemtupa n hata sura ukiangalia utaona kma ana 40yrz old ila angesoma hta sheria kma dad wke ungekuta nw anafanya kazi nzuri cz ya jina la dad wke.
Baba yke alikua judge toka miaka y 70 so wema asingekosa kazi nzuri kma angesoma ila yeye karithi kila ki2 toka kwa maza hata elimu maza cjui kma kafika std 7
Hiko cheti tungekiona had instagram, hana cha cheti wala diploma ya course yeyote, dada yake mwenyew sidhan kama kaenda shule na yeye.
Wema kwao ni visu bwana, mama yao kazaa haswaa, kwa hilo pongezi zake, ila mitoto yake ndo kwa ukahaba sasa