Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

amu hajambo....ushosti wetu umerudi kama awali....aibu imebaki kwa wapambe....mbona watachambia mnukanuka mwaka huu....

Safi sana kama mpo pamoja,pm zenu zinatumika ndivyo sivyo.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa......hivi kwa mfano mnawachonganisha watu wagombane....wakija kupatana wanajisikiaje!!!!
.....Nijibu

Aibu kwao.....wachonganishi.Na je mama watoto wanapogombana ukamchapa mtoto wa jirani na mpaka ukamtukana mama wa huyo mtoto,baadae watoto wakaelewana na kucheza pamoja.Kama mama utajisikiaje???
 
yaani natamani hizo team mavi za wema waje huku waone kazi yaani wamefanya watu wote waione insta mbaya sababu ya tabia zao hafu sasa watu wenyewe nilivyoona picha zao siku ya birthday yaani sijui hata shule ka waliigusa looooh
 
Aibu kwao.....wachonganishi.Na je mama watoto wanapogombana ukamchapa mtoto wa jirani na mpaka ukamtukana mama wa huyo mtoto,baadae watoto wakaelewana na kucheza pamoja.Kama mama utajisikiaje???

Hahahahha......ningejinyonga
 
yaani natamani hizo team mavi za wema waje huku waone kazi yaani wamefanya watu wote waione insta mbaya sababu ya tabia zao hafu sasa watu wenyewe nilivyoona picha zao siku ya birthday yaani sijui hata shule ka waliigusa looooh

Shikamoo kipps....mwendo wa shikamoo mpaka akili ziwakae sawa wachambia magunzi.
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo kipps....mwendo wa shikamoo mpaka akili ziwakae sawa wachambia magunzi.

kwa kweli mpaka kieleweke mydiaa haaaa yanakera yale majitu yaani elimu, kujitambua ni vitu muhimu kwa wanawake wa kitanzania.
 
Last edited by a moderator:
Hii clip, inafanya nizidi kumshukuru Mungu kwa kunipa mama Mstaarabu, mwenye hekima na mcha Mungu. Sijawahi kumsikia mzazi wangu (wa kike wala wa kiume) akitamka maneno makali kama hayo... na mimi pia kwa sasa ni mama, sijawahi/ sitawahi kuyatamka mbele ya mabinti zangu na kwa mtu yoyote yule.
 
Hpo itakua kweli wakti anakua mis alikua 18 baada y hpo ndio zikaanza sarakasi z kanumba,mr blue,tid,teja jumbe na wengineo.sasa mda w kusoma aupate wapi na mtoto genye zimejaa mpka kichwani ila kweli tabia zke z kurithi like mother like daughter.
Umri umemtupa n hata sura ukiangalia utaona kma ana 40yrz old ila angesoma hta sheria kma dad wke ungekuta nw anafanya kazi nzuri cz ya jina la dad wke.

Baba yke alikua judge toka miaka y 70 so wema asingekosa kazi nzuri kma angesoma ila yeye karithi kila ki2 toka kwa maza hata elimu maza cjui kma kafika std 7

hapo kwenye bold... kuna mtu aliwahi kuleta thread kwamba IQ za watoto zinategemea sana IQ ya mama, siyo ya baba... so muwe waangalifu mnapotafuta mama wa watoto wenu
 
Hiko cheti tungekiona had instagram, hana cha cheti wala diploma ya course yeyote, dada yake mwenyew sidhan kama kaenda shule na yeye.

Wema kwao ni visu bwana, mama yao kazaa haswaa, kwa hilo pongezi zake, ila mitoto yake ndo kwa ukahaba sasa

mixer ya kinyamwezi na kinyaturu lazima itoke bomba sana, ila usitegemee kitu kichwani.... ndukiiiii
 
Back
Top Bottom