Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?


hata mimi nakumbuka hilo sekeseke la umri wa wema kuwa under age alipopewa taji, hata me nimeshangaa kusema ameturn 26 while from 2006 with that 17 now ni 25, ukubwa wa umbo tu.
 
Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.

Hahahhaa umeona eeh? Kuna mtu anamjua anasema ni mwaka karibu wa tatu sasa anadai ana miaka 26! Ina maana umri umestuck au??😝😝😝😝😝😝😝
 
kwaiyo miaka yote iyo mume hola mtoto hola ana jidai kuishi ki mbele mbele akati yupo apa dar mwambieni ashutuke bado miaka 4 habari yake ianze kuisha 30 miaka ikifika bado ni mwendo mwendo ajibebe tu
 
Acheni kutetea ujinga mama mtu mzima kama huyo maneno hayo kumtoka anawafundisha nn watoto na wajukuu?pia alivyomtukana Kajala na wazazi wake kajala ndio alimtengenezea picha ya uchi? Na huyo mume mwanae aliyechukuliwa hio ndoa alifungia wapi?
 
Acheni kutetea ujinga mama mtu mzima kama huyo maneno hayo kumtoka anawafundisha nn watoto na wajukuu?pia alivyomtukana Kajala na wazazi wake kajala ndio alimtengenezea picha ya uchi? Na huyo mume mwanae aliyechukuliwa hio ndoa alifungia wapi?

Huyu mama ni balaaaaa......
 
jamani mumsameheni huyu bibi kama mnavyomsamehe Le mutuz maana Le baharia na huyu mama rika moja.
 
Team mavi wako wapi?

Wamejifungia, maana hamna hata mtu anayemtetea bibi wa watu mpaka nataka nijitolee kwa mkopo kumtetea ila nikifikiria kifurushi cha matusi nitakachoporomoshewa bora tu nifunge zip mdomo.Madame karibu castle milk stout.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…