ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Hebu cheki hapa twenty4seven
Tofali come here ,huo wasifu wa kwanza kauandika Wema nini maana naona serikali ya muungano zanzibar.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu cheki hapa twenty4seven
Uliza wa mama wa sinza wa miaka hiyo wanamjua mama wema vzur, yule mama ni shangingi haswa na alikuwa malaya, kampani yao ilikuwa akina mama hasheem thabeet kwa kupenda dogo dogo hawajambo
Tofali come here ,huo wasifu wa kwanza kauandika Wema nini maana naona serikali ya muungano zanzibar.
Hahahaha....sidhan ht km anajua bb yake aliwahi kuwa hivyo...angejua angesoma amfikie baba yake au walau awe jaji km kaka yake Mkusa isaac sepetu....lol
Hahahaha....sidhan ht km anajua bb yake aliwahi kuwa hivyo...angejua angesoma amfikie baba yake au walau awe jaji km kaka yake Mkusa isaac sepetu....lol
kwani alikua na wake wawili?
Ndioooo....mzee alikosea sana kumuoa yule mama lol....tofautisha watt wa mke mkubwa na yy mke mdgo...wa mm wema na hivi ni wa kike tupu ..wamerithi uhuni....hawa wakizungu lol
Hawa siwasikii zaidi ya huyo jaji ambaye anasadikiwa anaweza kupewa uanasheria mkuu kwenye serikali ya mapinduzi.
Ndioooo....mzee alikosea sana kumuoa yule mama lol....tofautisha watt wa mke mkubwa na yy mke mdgo...wa mm wema na hivi ni wa kike tupu ..wamerithi uhuni....hawa wakizungu lol
Mke mkubwa watoto wke wamesoma bi mdogo watoto wke vipi usikute nao wacheza vigodoro wote
Hebu cheki hapa twenty4seven
Yani nakupa like 100 yani kwa vyeo vya baba yke angesoma angekua mbali sana,majaji wastaafu wengi wana maisha mazuri sana huyu mama itakua alimfilisi mzee tu,kwa hadhi yke ungekuta kaacha nyumba obey,maza ni shakupaku aliyejichokea hata bajaji hata
Wema still anaweza kubadilika ila hizi timu nnya zao zinamuharibu sana.Ana watu wengi nyuma ambao wanaweza kumsapoti kichanya kuliko kihasi.
Huyo ana damu y kunguni tabia maza mtupu yani kwa influence y marehemu dad wke angesoma angekua mbali sana ila akili z std 7 za maza wke
Huyo ana damu y kunguni tabia maza mtupu yani kwa influence y marehemu dad wke angesoma angekua mbali sana ila akili z std 7 za maza wke
Ila huyu mzee inaonyesha life lake lote alibase zenji....atakua na mimali huko. Au huenda hakuwa fisadi lol
Sina uhakika sana mwanza akiwa jaji hakuacha nyumba na ndio kipindi alimchukua huyo shakupaku,halafu mzee itakua aliishi kwa mateso sana chini y huyu maza
Haswaaa
huyo maza na mwanae watajuta mda c mrefu,hvi huyu maza ndio umuachie mjukuu c majanga,mjukuu atakua n kamusi y matusi balaa
Yeye karithi kucheza vigodoro kutoka kwa mama ,wenzi wake wamerithi ubongo kutoka kwa baba.