Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Hahaaaaaaaaaa
 
Hivi kwani wema ana miaka mingapi mbona kama ni mzee kuliko Zari au naona tofauti?
wamepishana kidogo sana, utofauti wao ni kwamba mmoja AMEBARIKIWA kuwa na watoto na mwingine anahaha kupata mtoto kwa gharama yoyote. lakini ipo siku naye atalamba ndimu na kula udongo na hatimaye kuitwa mama
 
wamepishana kidogo sana, utofauti wao ni kwamba mmoja AMEBARIKIWA kuwa na watoto na mwingine anahaha kupata mtoto kwa gharama yoyote. lakini ipo siku naye atalamba ndimu na kula udongo na hatimaye kuitwa mama
Kiukweli mimi sionagi Tofauti yao Sema wabongo ni kiboko wamemsema Zari wa watu hadi kajua Kiswahili kipindi ni mjamzito yale Majungu sikutegemea angepata mtoto mzuri Vile ama kweli Dua za kuku hazimpati mwehe Sahizi huko insta anavo mjibu Wemaa kaa dada Zari ana dharau na nimependa majibu yake
 
eti kuzaa hovyo wewe kwenu mko watoto tisa sio kuzaa hovyo?mimi naoma kabla ya kumshauri bibi mwenzako ungewashauri wazazi wako.

swissme

Mmmh mambo ya wazazi yamekujaje tena,
Ni kuzidiwa hoja au ni kukosa adabu?

Sio vizuri.
 
Kwa mdomo huo jiongeze aisee ,kama kweli unaamini katika kuolewa tena na Mwanaume mkamilifu anayejua maana ya ndoa,unless kama shoga yako Wema alikua na status nzuri angetulia ila kucharuka kumemshusha hadhi sana,msichana angejitunza akajipenda na kua na nidham sio matusi matusi tu na kutoa siri zake za ndani,`eti mimi siwezi kuzaa"kwani ye ndio wa kwanza kushindwa kuzaa?tuna Millen a.k.a Happiness Magese I think hana mtoto wala hana uwezo wa kuzaa kwa hali yake ya kuumwa na hajajilalamisha wala nini.kama unataka mume kweli na ukae kwenye ndoa jitulize kama ipo ipo tuuu mpenzi.
 
Nikiwa kwenye night shift kazini kwangu nimeinjoy ubuyu kwa raha sana nakufanya.mda uende kiulaini
Nimefaidika baadhi ya info.
Kuhusu Diamond
Zari
Uwoya
Anti ez
Peter wa p2
Kim kad.
Zari
Wema
N.k
Asante ubuyu, sasa tulale yaishie hapahapa.
 
MUNGU ni mwema kwakweli na huwa hachelewi wala hawahi. kwa mwanaume kuitwa baba ni furaha na heshima pia kwa mwanamke kuitwa mama ni heshima na furaha sasa ukiona umri umefikia uzee hata dalili za mtoto hakuna zaidi zaidi unawashika watoto wawenzio kwa akili ya kibinadamu lazima upanic ndio hapo sasa mtu anaanzisha vita kwa kila mtu
 
Eti the Beauty of life fucks us all,its that your fucked by this life and we all see that your fucked,kama Wema unadai ni school mate may be Classmate it means mnawezakua age mate,kama wewe ni age mate wa wema na ushenzi unaouzungumza humu ikiwemo kudai unauza wake za watu basi umechakaa sana ni kweli maisha yamekufuck na bado mpaka ujielewe kwa akili hiyo ukishtuka 60s huko
 
I saw it coming.... Huu uzi una ukakasi sana!!!
 
Those Two Women..
I Envy Domo.
He Is Fuckin Pretty, Famous Women.
Heard His Di*k Game Is Like Messi 's Left Leg.
He Is Got Cash Too.
Damn.
Lemme Try And Make Some Money Too. Fame And Pretty Famoud Bitches Will Follow Until Then I Got Nothing To Say\Comment On Them But All I Know Its Domos Dick Game Driving Them Crazy.
 
Wewe msichana una maneno machafu...sijui hata uyo mwanaume uliyenae yupoje maana kwa maneno ayo uliyoandika mmh.ila kumbuka hujafa hujaumbika lara 1 na mungu anakuona na kukuckia ayo maneno machafu unayotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…