Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnasifiaga ujinga tuHahahahaaa ila lara 1 wewe kiboko...una argue na watu lukuki na bado umewapa dose kama vile mpo mia, nimecheka sana
Binam kunya tikitiaahaaa jaman muacheni lara wa watu mbona munamshambulia hvyo? asije akajinyonga bureee
Swiss na Vanilla, mbwa wa Wema.Huwa anawaita watoto wake.ahahhaj hivi swiss ndio nani jaman? huo umbea ulinipita ivoooo
Hahahaa Sophy za asubuhi...NI HIV HAYA MAONI YENU YA KUTOZAA KWA WEMA NI KAMA KELELE ZA CHURA, COZ HYO MIMBA ANAITAMAN USIKU NA MCHANAA sema ndyo hvyo Mungu Kwa sasa hajambariki so hayo yenu ni maneno ya MKOSAJI
nani kamnyanyasa sasa ? mi napingana na lara 1 kumshauri wemer akachoropoe mimba na umri huu wa uzeeni alionao😉😉😉😉 ilhali anahangaika kusaka mimba😛😀😀 baada ya kuchoropoa ile ya marehemu steven kanumba..... asitoeWanawake mnamambo sana, Bibi nae ni mtu Kama sisi, Ana Moyo Hana Jiwe wala reli kifuani, isitoshe yeye mgeni hapa kwetu tusimnyanyase basi coz kampenda Ndg yetu.
Ujinga upi niliosifia?Hivi mnasifiaga ujinga tu
Si wanasema dai hawezi kuzalisha na tiffa sio mwanae kumbe wema alishika mimba kwa dai yani team wema wanajimix hadi hurumaAliwahi kupata mimba ya dai.
Wakaenda sauzi akapata kichapo
Akasema ilitoka.
mimba sidhani ka anayo over my dead body loh ila tungojr maana mimba ni kama mpira 90dakika kinaelewekaUsikute mama ubaya muongo, hana cha kutoa mimba wala nini, aseme tu kuwa kizaz chake bahati mbaya, sio kila mwanamke lazima aitwe mama so yeye atulie tu ashuhudie wanawake wa shoka kama akina zari wakiingia leba kuzaa maana yeye huo uwezo hana, hahaahahaha shahaha poleee
Na akijifungua atuletee DNA kama anavyodai ya mwenzie.poor idris mtoto wa 1993 kuparamia vibibi asalalee..Wema mjamzito.
Tena aliitega mimba kwa kuinua miguu kwenye kamba masaa 12
Shida na utata itakua kwenye kujua mtoto wa nani.
Natamani tubet.
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Hahahaa wala hajashindwa,ni tactic ya kudhoofisha upinzani wasiomjua tu ndio watamuamini,Lara ni mbishi ka muha wa kigoma,tena kapunguza walahu siku hiziShe is smart though.. amegundua huu uzi unampunguzia popularity na fans humu JF maana uzi wote hakuna anayemsupport kila mtu anampinga!!! So dizaini amenyoosha mikono na kusalimu amri kwa maneno ya kiutu uzima, si unajua lara 1 has a big ego, so ameshindwa tu kusema openly “..jamani nimeshindwa, naomba mnisamehe.!”
bila shaka alieleta hii thread ni wa kike hakuna cha maana ulichozungumza nikajua utamshauri wema ajipange na mwanaume wake aolewe unaleta habari za wema kutokuzaa...pumbafuuuuuuuu wema aolewe na azaeIgweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara mgumba, yaani inasikitisha. Wema azae kwa mpango upi labda? Kaolewa useme anajaza choo cha watu bure?
Yule bibi ashazaa watoto wa 3, so ata kizaa 10 wengine haina tofauti ndo maisha aliozoea? Kuzaa zaa ovyo kama kuku. Sasa anataka kumponza huyu Wema ambae kwa umri wa yule bibi ni sawa na mwanae, angechelewa kidogo angemzaa, ili awe kama yeye mtu wa kuzaa ovyo ovyo mpaka na watu wa rika la mwanae. Uzaa mpaka na watoto ama kweli wewe kiboko ya uzazi. Khhaaaaaaaaaaa.
Sasa Wema huyu bibi all she wants is to drag you to her level and beat you with experience. Manake ashaa 4 tayari, ashazaa na mtoto mdogo kwake, ashazaa na 2 in 1, yaani kwa experience ya uzazi tu hana mpinzani. Sio kiboko yao tu, ni Mamba yetu kwenye kuzaa ovyo.
Ukizaa tu UMEKWISHAAAAAAAAAAA! You will no longer be THE WEMA SEPETU rather Wema THE SINGLE MOM! Hahahaaaaa! Kweli mi nakwambia. Sasa tukufatilie nini tena wakati ushaishiwa maarifa, umezalishwa home na kuachwa, umedodaaaa. Kitendo cha kuingia labor, Baaaaaaaaaaaaaaaaassss, sehemu ishapitisha kichwa cha mtoto, nani atakuwa na mda wa kuifatilia?
Sahivi wanavokuandama mgumbaa mgumbaa, wale wale wataanza kazalia nyumbaniiii, kazalishwa hovyooo, sijui nini, unafikiri basi watanyamazaaa, usiwe bwegeee.
We just imagine Irene asingekuwa na mtoto, sahivi angekuwa mbali sanaaaa, Huyo shoga ako alozaa juzi NANI ANA MDA SAHIVI? Hamna hata mwenye mdaaaaaa.
Ligi ya wazazi ni ngumu sanaaaa, muachie Mange Kimambi ndo ameweza ku stay RELEVANT after 3 kids, na sio kwa style yako, ya mashauzi yanataka pesa, sahivi Mange amekuwa politician, sijui activist ndo maana amebaki relevant. Ila wengi sanaaa, uzazi unawapotezaa.
Uzazi usikie tu njiani. Mwenzi Bibi kizee anakutia ndimu uzae ili apate amani na Kaka D. Manake as long as hujazaa anapata shaka leo kesho ukizaa na D ukawa mke mwenzie atajimuder. Sasa kumkomoa huzai wala nini. Mfano mwingine Dada yake D alivotapeliwa na Meneja wetu! Hahahahaaaaaa! Jmani huku kuzaa uwe na roho ngumu.
USIZAE, MPAKA UOLEWE, UWE NA FAMILIA YA KUELEWEKA.
hahahahahabila shaka alieleta hii thread ni wa kike hakuna cha maana ulichozungumza nikajua utamshauri wema ajipange na mwanaume wake aolewe unaleta habari za wema kutokuzaa...pumbafuuuuuuuu wema aolewe na azae
wema hatakamilika kua wa kike kama hatazaahahahahaha
hapana ni wakike kuzaa ni majaliwa, japo yeye alitoa mimba ya kanumba kama anavyodai !!!!!!!!!!!!!!wengine km milen magese, hawazai kabisaaa na sio kosa lao, ni maradhi na huwezi kusema si wanawake...kwavile hawana uwezo wa kuzaa...wema hatakamilika kua wa kike kama hatazaa
Kweli ndio maana wanasema mwalimu wa wanawake ni kipofu...imagine huyu anamshawishi mwenzake asizae ili aendelee kufanya umalaya...
Si umshauri atafute mume aolewe azae (kama una uwezo lakini). Majibu yako yana akili sana. Umenifurahisha ulivyo mjibu.