talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
kwa hiyo lara 1 mi sijakuelewa vyema,inamaana unamuhalalishia wema kuendelea kuzini kila leo na kila aina ya bwana lakini tu unamuharamishia kuzaa kabla ya ndoa?maana naona unatoa justification ya kwamba mbona wengine wanadate icjekuwa wema?sasa mbona wengine wanazaa nje ya ndoa pia icjekuwa wema?Watoto wenu 12 yrs wana vibwana, afu Wema 27 ndo asi date nani kasemaaaa? Mnacha kukomesha wabemendaji mnakalia vitu amabavyo nyie mnafanyaaa, mimi pia nafanya, dada zenu wana fanya. Tuache unafki NANI ASIE DATE HUMU? Au mdate nyie tu, akidate Wema issue.
dhambi ambayo wema ameikiri kuifanya(kutoa mimba)ni kubwa(ameua kisicho na hatia) kuliko angezaa nje ya ndoa