Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Hao kina babu kuzaa na wajukuu zao kwako ni sahihi na haki zaidi kuliko ME kuzaa na mwanamke aliyemzidi umri?

Na kuhusu umri wa hao bibie wawili, mi naona upo kwenye namba zaidi kuliko hali halisi coz kila nikiweka picha zao/muonekano wao ubaoni bado napata shida kutambua ni yupi amemzidi mwenziye.

Na hata ninaowauliza wanapata kigugumizi na wengi humtaja Bi Siwema kuwa ndio dada mtu.

Na hebu tusubiri huyo unayemshabikia pindi akifikisha umri wa huyo mwenzake atakuwa na texture gani.
 
Hata mwokozi wetu YESU (kwa wale waumini) alikuwa na ndugu zake (siblings) wanne, James, Joseph, Simon na Judas....soma (Mathayo 13:55)....na kamwe Mama Yesu (Mama Maria) hakuwahi/hadhalilishwi kwa kuitwa amezaa hovyo....sio na Wanaume achilia mbali Wanawake wenzake.
 
Hao kina babu kuzaa na wajukuu zao kwako ni sahihi na haki zaidi kuliko ME kuzaa na mwanamke aliyemzidi umri?

Na kuhusu umri wa hao bibie wawili, mi naona upo kwenye namba zaidi kuliko hali halisi coz kila nikiweka picha zao/muonekano wao ubaoni bado napata shida kutambua ni yupi amemzidi mwenziye.

Na hata ninaowauliza wanapata kigugumizi na wengi humtaja Bi Siwema kuwa ndio dada mtu.

Na hebu tusubiri huyo unayemshabikia pindi akifikisha umri wa huyo mwenzake atakuwa na texture gani.

YOU MAY CHEAT THE BODY WITH PLASTIC SURGEY BUT YOU CANT CHEAT THE YEARS AND SEASONS YOU HAVE BEEN IN THE WORLD!

Nasisitiza UMRI NI BARAKA TOKA KWA MUNGU.
 
Hata mwokozi wetu YESU (kwa wale waumini) alikuwa na ndugu zake (siblings) wanne, James, Joseph, Simon na Judas....soma (Mathayo 13:55)....na kamwe Mama Yesu (Mama Maria) hakuwahi/hadhalilishwi kwa kuitwa amezaa hovyo....sio na Wanaume achilia mbali Wanawake wenzake.

His stepbrothers.
 
Tangu tunasoma primary kuna wasanii tunawasikia na manyimbo yao, mpaka tumeanza kujitegemea hao wasanii bado wapo mabachelor tu mpaka leo....sijui kama wana watoto bila ndoa au vipi. maana umri umeshawatapikia...akina Nigga Jay, Jay Moe, Fa, Ay,KR Mullah, Luteni Karama...dah kitambo sana

Huyu Sepetu japo wa juzi tu lakini naye umri umeenda....Aolewe basi atotoe maana atakuja kulea watoto waanze kujiuliza kama ni mama au bibi.
 
Nimeona umequote mistari ya Bible ingawa nimeshindwa kuelewa umeihusishaje mistari hiyo na mada niliyoiegemea mimi ya "kuzaa zaa hovyo"

Pili...iwapo unalazimika KUquote maandiko naomba utumie lugha ya Kiswahili maana ndio ninaielewa zaidi....hata kama UNAdownload mahali basi dadavua kwa kiswahili badala ya kupachika kama ilivyo...haswa hiyo milango.

About Deutoronomy 23:2

Kati ya vifungu vitatu ulivyonukuu naomba nichague hicho hapo.

*Matendo 10:28
...........lakini Mungu amenionya, nisimwite mtu awaye yote mchafu wala najisi.

*Ufunuo 20:13
Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na mauti na kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadri ya matendo yake.

Tosha kwa hapo, ukihitaji zaidi nipo.

Kwa kifupi huo mstari na hiyo mingine uliyo quote wewe, iliwalenga jamii ya wakati ule, haswa Wayahudi, na wakuwa wachache....hivyo mistari iliyopo sasa ndyo hiyo....kila mja atapimwa kwa matendo yake...yule unayedhani anakosea utashangaa ndiye ananyakuliwa na wewe unayedhani upo sahihi ukabaki.
 
Ujinga upi niliosifia?
Mimi napenda confidence yake anasimamia anachokiamini no matter what....mfn angalia kwenye uzi huu she is the only one anaesuport but still hajatetereka...tofauti na wengine humu Jf hua wanaangalia majority wapo upande gani nao wanabase humo, ushanifahamu?
Kwamba hajatetereka kusimamia ushauri wa Wema kutoa mimba???
 
Si wanasema dai hawezi kuzalisha na tiffa sio mwanae kumbe wema alishika mimba kwa dai yani team wema wanajimix hadi huruma
Kichapo alipewa na nanii hii nilipitwa nitonye tafadhali
Kichapo alipewa na Diamond.
Alifuma mawasiliano ya ovyo
Wema akapigwa ngumi ya jicho akatuma picha Global.
Kabla hajaenda alikutwa anakula ugali na kisamvu akasema ana mimba.
Alishawahi kupigana na mamake pia akaweka picha mtandaoni akampeleka mamake na dadake Tunu polisi.
Hatujasahau
 
Hahahaaaaaaaaaa! Linda kichuna wa kizaramo nitamuweza vipi? Mi Linda nampenda sanaaa tu. Basi tu unataka kutuchonganisha. Afu bifu na zari la nini, mtu mzima yule namuheshimuu si kidogo hata kama ndo hivo tenaaa anachunguliwa na watoto. Ndo keshaamua.
lala 1 bhana, sasa kama Diamond nae ni mtoto na wale wanaochezaga halaiki pale Uwanja wa Uhuru sijui tuwaitaje! Au na wewe unataka kujifanya Mama Salma JK wakati huku kitaa tunafahamu fika kwamba mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako!!
 
Kichapo alipewa na Diamond.
Alifuma mawasiliano ya ovyo
Wema akapigwa ngumi ya jicho akatuma picha Global.
Kabla hajaenda alikutwa anakula ugali na kisamvu akasema ana mimba.
Alishawahi kupigana na mamake pia akaweka picha mtandaoni akampeleka mamake na dadake Tunu polisi.
Hatujasahau
Hahhahaha kumbukumbu yako ipo vzurii sanaaaaa
 
SI TATIZOOOO, NDO MAANA NIMESIFIA NI MAMBA YETUUU WANAWAKE KWENYE KUZAAA. Aongeze hata 10, nchi huru hiii lakini sio kumsakama binti mdogo, hajaolewa yupo kwao azae. NDO MAADILI GANI HAYO SASA? NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Unajua wewe kichwa chako kina puncture..... Hahahaha
 
Hahahahaaaaaaaaaa! Mimi wala sipo TEAM YOYOTE. SEMA UPOTOSHAJI WA KUMSHAWISHI MTU WA 20S YUPO KWAO AZAE NDO SIKUBALIANI NAO. ISITSHWE UNAFANYWA NA MTU 40 SOMETHING HUKO, AMESHAACHIKA NA ANA WATOTO 4! KHAAAAAAAAA! WA TZ TUSIPENDE KUIGA VISIVO IGIKA
wema yupo kwao??????? tangu ashinde. u miss kashazoea kutanga tanga azae tu na huyo idris maana akitoswa na idiris sijui nani atamdate tena kashachezea time sana kipindi yuko juu now hata ku maintain status ya mwili wake kashindwa kina klyn kwa. wema wanaweza kumpa shikamoo hivi hivi ( am not team wema nor zari)
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara mgumba, yaani inasikitisha. Wema azae kwa mpango upi labda? Kaolewa useme anajaza choo cha watu bure?

Yule bibi ashazaa watoto wa 3, so ata kizaa 10 wengine haina tofauti ndo maisha aliozoea? Kuzaa zaa ovyo kama kuku. Sasa anataka kumponza huyu Wema ambae kwa umri wa yule bibi ni sawa na mwanae, angechelewa kidogo angemzaa, ili awe kama yeye mtu wa kuzaa ovyo ovyo mpaka na watu wa rika la mwanae. Uzaa mpaka na watoto ama kweli wewe kiboko ya uzazi. Khhaaaaaaaaaaa.

Sasa Wema huyu bibi all she wants is to drag you to her level and beat you with experience. Manake ashaa 4 tayari, ashazaa na mtoto mdogo kwake, ashazaa na 2 in 1, yaani kwa experience ya uzazi tu hana mpinzani. Sio kiboko yao tu, ni Mamba yetu kwenye kuzaa ovyo.

Ukizaa tu UMEKWISHAAAAAAAAAAA! You will no longer be THE WEMA SEPETU rather Wema THE SINGLE MOM! Hahahaaaaa! Kweli mi nakwambia. Sasa tukufatilie nini tena wakati ushaishiwa maarifa, umezalishwa home na kuachwa, umedodaaaa. Kitendo cha kuingia labor, Baaaaaaaaaaaaaaaaassss, sehemu ishapitisha kichwa cha mtoto, nani atakuwa na mda wa kuifatilia?

Sahivi wanavokuandama mgumbaa mgumbaa, wale wale wataanza kazalia nyumbaniiii, kazalishwa hovyooo, sijui nini, unafikiri basi watanyamazaaa, usiwe bwegeee.

We just imagine Irene asingekuwa na mtoto, sahivi angekuwa mbali sanaaaa, Huyo shoga ako alozaa juzi NANI ANA MDA SAHIVI? Hamna hata mwenye mdaaaaaa.

Ligi ya wazazi ni ngumu sanaaaa, muachie Mange Kimambi ndo ameweza ku stay RELEVANT after 3 kids, na sio kwa style yako, ya mashauzi yanataka pesa, sahivi Mange amekuwa politician, sijui activist ndo maana amebaki relevant. Ila wengi sanaaa, uzazi unawapotezaa.

Uzazi usikie tu njiani. Mwenzi Bibi kizee anakutia ndimu uzae ili apate amani na Kaka D. Manake as long as hujazaa anapata shaka leo kesho ukizaa na D ukawa mke mwenzie atajimuder. Sasa kumkomoa huzai wala nini. Mfano mwingine Dada yake D alivotapeliwa na Meneja wetu! Hahahahaaaaaa! Jmani huku kuzaa uwe na roho ngumu.

USIZAE, MPAKA UOLEWE, UWE NA FAMILIA YA KUELEWEKA.
Wema achekeche ushauri, aamue mwenyewe
1. Asilimia kubwa ya wanawake hata wakiwa kwenye ndoa ni single mothers
2. Hayo mayai yana expiry date. (Nadhani quality inapungua kidogo kidogo)
3. Mungu akimjalia, waswahili wanasema azae hata mmoja wa dawa.
 
Back
Top Bottom