Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lala 1 bhana, sasa kama Diamond nae ni mtoto na wale wanaochezaga halaiki pale Uwanja wa Uhuru sijui tuwaitaje! Au na wewe unataka kujifanya Mama Salma JK wakati huku kitaa tunafahamu fika kwamba mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako!!
wewe kweli ni lishangazi poa.UJANJA SIO KUWAHI, UJANJA KUPATAAAAAAAA! Msitake nikumbushe mambo yenu ya KUFUGA MABWANA MADAI YENU WAUME. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! HALOOOOOOOOOOOO!
Hahahha uwiiiii mwenyew nilivyoona nimeshangaa! Nenda kwa udaku_special naona yeye ndyo kaanzisha instaKwa nani niende nikajicomment! Afu ndotatizo lenuuu, mambo tunaongea hukuuu, mshayakimbizaa.WATACHAMBA LEO MPAKA MAKALIO YATAWABAKI WAZI. HAHAHAAAAAAAAAAAAAA!
Hii hapa.....Nitajie ID kamili NIKAJITETE MAANA NITAKUWA NACHAMBWA NA GUNZI! Hahahaaaaaaaaa! Instagrammers can be BRUTAL!
Hahaha we kiboko aisee ulivyojitoa akili kumchamba kila mtu maskini wema aombi ndoa ye anataka mtoto mtu anamuombea ndoa kwani wema alikwambia anataka mume ye kasema anataka mtoto kahUJANJA SIO KUWAHI, UJANJA KUPATAAAAAAAA! Msitake nikumbushe mambo yenu ya KUFUGA MABWANA MADAI YENU WAUME. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! HALOOOOOOOOOOOO!
kapata lakini wote sio level zake angalia kina faraja now wanakula mema ya nnchi bila stress atleast huyo sultan ana kastatus flan lakini kwa luisi alibug na akajishtukia azae tu na sultan maana akishindwa hapo atakuja kuzaa na wanenguaji kama mama. fudengeHiiiiiiiiiii! Yupo china ya wazazi wake, akifa Eee Mungu epushia mbali kabisaaa atazikwa na ndugu zake. Ingekuwa katolewa mahari, au kaolewa tungesema AMEUZWA AU KUKABIDHIWA UKOO MWINGINE KIMILA NA DESTURI. Lakini sahivi hata akizaa mtoto ni wa kwao na nduguze.
Si mlisema akiachwa na Dai hatopata wa kudate? Nyooooooooooo! HUYO KLYN KAZAA NA MIAKA MINGAPI?
lara 1, Purple hapa is amazed with your confidence... kwamba watu wanakupa vichambo lakini we upo tu! Inaelekea hafahamu kwamba ulizaliwa hospitali ya Mwananyamala tena alfajiri ya weekend! Dakika unazaliwa, maneno ya kwanza kuyasikia ni ya manesi wakiwapa vichambo akina mama waliokuwa leba-- na anaezaliwa mwenyewe mtoto wa kike!!!Ujinga upi niliosifia?
Mimi napenda confidence yake anasimamia anachokiamini no matter what....mfn angalia kwenye uzi huu she is the only one anaesuport but still hajatetereka...tofauti na wengine humu Jf hua wanaangalia majority wapo upande gani nao wanabase humo, ushanifahamu?
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara mgumba, yaani inasikitisha. Wema azae kwa mpango upi labda? Kaolewa useme anajaza choo cha watu bure?
namkubali sana ZARI The boss lady
Yule bibi ashazaa watoto wa 3, so ata kizaa 10 wengine haina tofauti ndo maisha aliozoea? Kuzaa zaa ovyo kama kuku. Sasa anataka kumponza huyu Wema ambae kwa umri wa yule bibi ni sawa na mwanae, angechelewa kidogo angemzaa, ili awe kama yeye mtu wa kuzaa ovyo ovyo mpaka na watu wa rika la mwanae. Uzaa mpaka na watoto ama kweli wewe kiboko ya uzazi. Khhaaaaaaaaaaa.
Sasa Wema huyu bibi all she wants is to drag you to her level and beat you with experience. Manake ashaa 4 tayari, ashazaa na mtoto mdogo kwake, ashazaa na 2 in 1, yaani kwa experience ya uzazi tu hana mpinzani. Sio kiboko yao tu, ni Mamba yetu kwenye kuzaa ovyo.
Ukizaa tu UMEKWISHAAAAAAAAAAA! You will no longer be THE WEMA SEPETU rather Wema THE SINGLE MOM! Hahahaaaaa! Kweli mi nakwambia. Sasa tukufatilie nini tena wakati ushaishiwa maarifa, umezalishwa home na kuachwa, umedodaaaa. Kitendo cha kuingia labor, Baaaaaaaaaaaaaaaaassss, sehemu ishapitisha kichwa cha mtoto, nani atakuwa na mda wa kuifatilia?
Sahivi wanavokuandama mgumbaa mgumbaa, wale wale wataanza kazalia nyumbaniiii, kazalishwa hovyooo, sijui nini, unafikiri basi watanyamazaaa, usiwe bwegeee.
We just imagine Irene asingekuwa na mtoto, sahivi angekuwa mbali sanaaaa, Huyo shoga ako alozaa juzi NANI ANA MDA SAHIVI? Hamna hata mwenye mdaaaaaa.
Ligi ya wazazi ni ngumu sanaaaa, muachie Mange Kimambi ndo ameweza ku stay RELEVANT after 3 kids, na sio kwa style yako, ya mashauzi yanataka pesa, sahivi Mange amekuwa politician, sijui activist ndo maana amebaki relevant. Ila wengi sanaaa, uzazi unawapotezaa.
Uzazi usikie tu njiani. Mwenzi Bibi kizee anakutia ndimu uzae ili apate amani na Kaka D. Manake as long as hujazaa anapata shaka leo kesho ukizaa na D ukawa mke mwenzie atajimuder. Sasa kumkomoa huzai wala nini. Mfano mwingine Dada yake D alivotapeliwa na Meneja wetu! Hahahahaaaaaa! Jmani huku kuzaa uwe na roho ngumu.
USIZAE, MPAKA UOLEWE, UWE NA FAMILIA YA KUELEWEKA.
Na mumewe tena?? Ana wanaume wangapi huyo zariEe
Wema ana make impact kwny industry ipi kwa mfano,movie??pls zipii hizo,
Mana nachoona mjini hapa anauza.... tu
Walau zari ana biashara ya chuo South Africa na mumewe na maduka,
Ntajie source of income ya wema tafadhali
Kwa hiyo dini yake ya kiislamu inaagiza watu wasizae nje ya ndoa, lakini ruksa kutoa mimba? umepotea mwelekeo....Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Hivi kuna mwanaume mwenye akili zake timamu anaweza kumuoa Siwema?Akatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
Kaaz kwel kwel!! Hiyo yote sababu wewe hauna kizazi?Bora awe tasa hivo hivo mpaka ATAKAPO OLEWAAAA. Kuwa MZAA OVYO yataka moyo