Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
hahahahaha ilikuwaje kuwaje?Acha mbwembwe we binti, rudisha laki tatu yangu tafadhari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha ilikuwaje kuwaje?Acha mbwembwe we binti, rudisha laki tatu yangu tafadhari.
Sasa kama anamsimamo wa uongo tumuangalie tu nastori zake za kutunga anajidai anataarifa za wema kumbe matatizo matupu na anachoongea aise.ndio upuuuuupuUjinga upi niliosifia?
Mimi napenda confidence yake anasimamia anachokiamini no matter what....mfn angalia kwenye uzi huu she is the only one anaesuport but still hajatetereka...tofauti na wengine humu Jf hua wanaangalia majority wapo upande gani nao wanabase humo, ushanifahamu?
wema yupo kwao??????? tangu ashinde. u miss kashazoea kutanga tanga azae tu na huyo idris maana akitoswa na idiris sijui nani atamdate tena kashachezea time sana kipindi yuko juu now hata ku maintain status ya mwili wake kashindwa kina klyn kwa. wema wanaweza kumpa shikamoo hivi hivi ( am not team wema nor zari)
Wema achekeche ushauri, aamue mwenyewe
1. Asilimia kubwa ya wanawake hata wakiwa kwenye ndoa ni single mothers
2. Hayo mayai yana expiry date. (Nadhani quality inapungua kidogo kidogo)
3. Mungu akimjalia, waswahili wanasema azae hata mmoja wa dawa.
Sasa kama anamsimamo wa uongo tumuangalie tu nastori zake za kutunga anajidai anataarifa za wema kumbe matatizo matupu na anachoongea aise.ndio upuuuuupu
At least unakubali kama unashida
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwani ulipokuwa unaniheshimu nilipata nini kwa mfano? Na baada ya kunidharau nimepungukiwa nini kwa mfano labda? Mmmmmmh!dada yangu nikwambie kitu,umejishushia sana heshima kuongelea maisha ya watu,nimekudharau sana
Mume si mchezo umri umeenda na mwili unabongonyoka kama udongo nilipo mtoa thamani eti idrisa ndo wakumzalia jamani