Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Kwa hiyo dini yake ya kiislamu inaagiza watu wasizae nje ya ndoa, lakini ruksa kutoa mimba? umepotea mwelekeo....
Itakua ndo hivo nlishaona binti mwingine wa dini hiyo akisema heri kutoa mimba kuliko kuzaa kabla ya ndoa
 
Itakua ndo hivo nlishaona binti mwingine wa dini hiyo akisema heri kutoa mimba kuliko kuzaa kabla ya ndoa
Duu ni wewe?ondoa hii comment issue za dini ni sensitive sana upuuz wa watu wawil usikufanye u generalise
 
Duu ni wewe?ondoa hii comment issue za dini ni sensitive sana upuuz wa watu wawil usikufanye u generalise
Nadhan hukutakiwa kupanik especially ukiwa kweny watu weng instead ungemwelewesha! Ukisoma comment yake vzuri unaona kabisa hayupo sure pia ila amesikia kwa watu
 
Duu ni wewe?ondoa hii comment issue za dini ni sensitive sana upuuz wa watu wawil usikufanye u generalise
Ni mimi, siondoi comment hii ni nukuu kutoka kwa mtu "kwa dini yake (uislamu) heri kutoa mimba kuliko kuzaa kabla ya ndoa tena mwenyewe akaita mwanaharamu"
 
Nadhan hukutakiwa kupanik especially ukiwa kweny watu weng instead ungemwelewesha! Ukisoma comment yake vzuri unaona kabisa hayupo sure pia ila amesikia kwa watu
Sio tu kusikia ila niliambiwa hivo hapa hapa jf heri kutoa mimba kuliko kuzaa mwanaharamu
 
huyo wema ana udogo gani?na nani wa kumuowa mwanamke kama yule?na hata kuzaa pale mtihani.
 
Hatimaye Wema kashika ujauzito!!!
lara 1 kaone tumbo kwa ommy dimpoz
Mweee kama kabla tu ya kuzaa hips zimeshuka akipush si zitaanguka???
 
Wanajamvi yapata kama Wiki mbili na sehemu sasa tangu nilivyoleta uzi wangu kuwataka kinadada waache kumsumbua Mungu kwa matatizo yao ya kujitakia.
mara baada ya uzi huo akaja Lara 1 a. k. a kubwa la maadui, jeshi la mtu mmoja, akanichamba ile mbaya, hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi kwa kumtukana hadi mama yangu,
Cha ajabu Wiki jana Lara 1 amerudi na kukaa upande wangu, anaunga mkono kile Nilichokuwa nawaasa mabinti, akimshauri wema ktk uzi wake Lara 1 anasisitiza kwa wema ajitunze hadi aolewe, asipagawishwe na kibibi kama zari aliyezaa na Diamond, anamsisitizia kuwa kuzaa bila ya kuwa kwenye ndoa ni nuksi, Lara 1, umeingia kwenye 18 zangu kiulainiiiiii........!
 
Mwenzio ameamua kuacha uovu na anamtafuta Mungu kwa bidii wewe unang'ang'ana na kumi na nane zako....
 
Aisee wanajamvi huwa mnaniacha hoi na thred zenu yani huwa naburudika sana kwakwel kwenye wengi kuna mengi .........
 
Back
Top Bottom