ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hivi kwani wema ana miaka mingapi mbona kama ni mzee kuliko Zari au naona tofauti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaaaaaaaSi tamani, manake mimi ni mutu wa Mungu, na NAJUA MUNGU NI MWEMA, KAMA KAMPANGIA MJA WAKE KUOLEWA ATAOLEWAAAA TU. KAOLEWA KIM KARDASHIAN NDOA 3 ITAKUWA WEMA? KAOLEWA AMBER ROSE, ITAKUWA WEMA? ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAMU HAWEZI KUKITENGUA. Wewe binadamu tu kesho huna uhakika ya kufika so maneno yako hata kwenye khanga yapo
wamepishana kidogo sana, utofauti wao ni kwamba mmoja AMEBARIKIWA kuwa na watoto na mwingine anahaha kupata mtoto kwa gharama yoyote. lakini ipo siku naye atalamba ndimu na kula udongo na hatimaye kuitwa mamaHivi kwani wema ana miaka mingapi mbona kama ni mzee kuliko Zari au naona tofauti?
Kiukweli mimi sionagi Tofauti yao Sema wabongo ni kiboko wamemsema Zari wa watu hadi kajua Kiswahili kipindi ni mjamzito yale Majungu sikutegemea angepata mtoto mzuri Vile ama kweli Dua za kuku hazimpati mwehe Sahizi huko insta anavo mjibu Wemaa kaa dada Zari ana dharau na nimependa majibu yakewamepishana kidogo sana, utofauti wao ni kwamba mmoja AMEBARIKIWA kuwa na watoto na mwingine anahaha kupata mtoto kwa gharama yoyote. lakini ipo siku naye atalamba ndimu na kula udongo na hatimaye kuitwa mama
eti kuzaa hovyo wewe kwenu mko watoto tisa sio kuzaa hovyo?mimi naoma kabla ya kumshauri bibi mwenzako ungewashauri wazazi wako.
swissme
Kwa mdomo huo jiongeze aisee ,kama kweli unaamini katika kuolewa tena na Mwanaume mkamilifu anayejua maana ya ndoa,unless kama shoga yako Wema alikua na status nzuri angetulia ila kucharuka kumemshusha hadhi sana,msichana angejitunza akajipenda na kua na nidham sio matusi matusi tu na kutoa siri zake za ndani,`eti mimi siwezi kuzaa"kwani ye ndio wa kwanza kushindwa kuzaa?tuna Millen a.k.a Happiness Magese I think hana mtoto wala hana uwezo wa kuzaa kwa hali yake ya kuumwa na hajajilalamisha wala nini.kama unataka mume kweli na ukae kwenye ndoa jitulize kama ipo ipo tuuu mpenzi.kuolewa ni stara ya mwanamke yeyote iwe kajamba nani? au kanya nani?. Maadamu HUJAOLEWA WEWE BINAFSI BASI USIJITIE MJUAJI WA MAISHA YA MWENZIO WAKATI YAKO YAMEKUSHINDAAA. Toa kwanza Boriti kwenye jicho lako ndo utoe Kibanzi kwenye jicho la wema.
Hapa hakuna kikaangia wala chapati, mimi dada yake nimempa ushauri kuntuuu that is it.
Nenda zako jory club wateja wanakusubulia.Mmmh mambo ya wazazi yamekujaje tena,
Ni kuzidiwa hoja au ni kukosa adabu?
Sio vizuri.
Nenda zako jory club wateja wanakusubulia.
swissme
MUNGU ni mwema kwakweli na huwa hachelewi wala hawahi. kwa mwanaume kuitwa baba ni furaha na heshima pia kwa mwanamke kuitwa mama ni heshima na furaha sasa ukiona umri umefikia uzee hata dalili za mtoto hakuna zaidi zaidi unawashika watoto wawenzio kwa akili ya kibinadamu lazima upanic ndio hapo sasa mtu anaanzisha vita kwa kila mtuKiukweli mimi sionagi Tofauti yao Sema wabongo ni kiboko wamemsema Zari wa watu hadi kajua Kiswahili kipindi ni mjamzito yale Majungu sikutegemea angepata mtoto mzuri Vile ama kweli Dua za kuku hazimpati mwehe Sahizi huko insta anavo mjibu Wemaa kaa dada Zari ana dharau na nimependa majibu yake
wazee mnatabu kweli."wanakusubulia" hahaha malizia kuikatikia ndio uje utype huku, maana unasulubishwa na rijali mpk unachapia.
wazee mnatabu kweli.
swissme
I saw it coming.... Huu uzi una ukakasi sana!!!Sijahama wala nini, tatizo kuna mtu kani PM kimuuma sanaaa KUMUITA MWANAE MWANA HARAMU. Yeye anampenda sanaa, na sio kosa lake kama baba mtu lafa tu, hamtaki mtoto, na ndoa, mwanae kwake ni kila kitu. na mambo kibaoooooooo. Roho imeniuma sanaaaa. Kanilaani humo humo na mimi nizae mwanamharamu ili niongee vizuri. TOBAAAAAAAAAAAA! ndo nikaona ya nini? Mi nilikuwa nachangamsha genge tu hapa.
LAANA za nini wajameniii. WEWE NDO UMENIPONZAA. Kuchamba tunachamba wote kulaaniwa nalaaniwa peke yangu. Hahahaaaaa! Bwawa lishaingia ruba mi namchamba Omukwano watu wanachukulia personal! Ngoja nikimbie kabla laana hazijazidi.
Sawa,lakini uzuri wake uko palepaleila ndo ana mitoto 4, ukweli utabakia hivo, k imepitisha vichwa 4, 3 halali, kimoja haramu