Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Azae tu hadi mayai ya ishe aijaze tz bado watu wachache atii
 
NI HIV HAYA MAONI YENU YA KUTOZAA KWA WEMA NI KAMA KELELE ZA CHURA, COZ HYO MIMBA ANAITAMAN USIKU NA MCHANAA sema ndyo hvyo Mungu Kwa sasa hajambariki so hayo yenu ni maneno ya MKOSAJI
Hahahaa Sophy za asubuhi...
 
Wanawake mnamambo sana, Bibi nae ni mtu Kama sisi, Ana Moyo Hana Jiwe wala reli kifuani, isitoshe yeye mgeni hapa kwetu tusimnyanyase basi coz kampenda Ndg yetu.
nani kamnyanyasa sasa ? mi napingana na lara 1 kumshauri wemer akachoropoe mimba na umri huu wa uzeeni alionao😉😉😉😉 ilhali anahangaika kusaka mimba😛😀😀 baada ya kuchoropoa ile ya marehemu steven kanumba..... asitoe
 
Aliwahi kupata mimba ya dai.
Wakaenda sauzi akapata kichapo
Akasema ilitoka.
Si wanasema dai hawezi kuzalisha na tiffa sio mwanae kumbe wema alishika mimba kwa dai yani team wema wanajimix hadi huruma
Kichapo alipewa na nanii hii nilipitwa nitonye tafadhali
 
mimba sidhani ka anayo over my dead body loh ila tungojr maana mimba ni kama mpira 90dakika kinaeleweka

na wemer tutajua tu miez 9 si mbali
 
Wema mjamzito.
Tena aliitega mimba kwa kuinua miguu kwenye kamba masaa 12
Shida na utata itakua kwenye kujua mtoto wa nani.
Natamani tubet.
Na akijifungua atuletee DNA kama anavyodai ya mwenzie.poor idris mtoto wa 1993 kuparamia vibibi asalalee..
 
Hahahaa wala hajashindwa,ni tactic ya kudhoofisha upinzani wasiomjua tu ndio watamuamini,Lara ni mbishi ka muha wa kigoma,tena kapunguza walahu siku hizi
 
bila shaka alieleta hii thread ni wa kike hakuna cha maana ulichozungumza nikajua utamshauri wema ajipange na mwanaume wake aolewe unaleta habari za wema kutokuzaa...pumbafuuuuuuuu wema aolewe na azae
 
ha
wema hatakamilika kua wa kike kama hatazaa
hapana ni wakike kuzaa ni majaliwa, japo yeye alitoa mimba ya kanumba kama anavyodai !!!!!!!!!!!!!!wengine km milen magese, hawazai kabisaaa na sio kosa lao, ni maradhi na huwezi kusema si wanawake...kwavile hawana uwezo wa kuzaa...


kwahiyo anaume wasioweza kuzalisha si wanaume eti kaka mpedwa?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…