Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Mimi bibi ndiooo, tenaaa kikongweeee ndo maana nimemshauri mjukuu wangu Wema Sepetu. Hahahahaaa! Una lingine? Bibi mwenzangu Z, anataka kumfanya vibaya mjukuu wetu.
kwahiyo hii picha unayotumia kama avatar ni yako?
 
Ngoja BINTI ZAKO, WAJE WAZALIE HAPO KWAKO, WAKULTEE WAJUKUU KEDEKEDE na Mungu akubariki uwepo kushuhudia neema hizo. Amen!
Sitakua wa kwanza na sina tatizo na hilo ,Asante pia kwa baraka ,
 
hahaaa kumbe unatamani aolewe???? utasubiria sana, ataendelea tu kudanganya nimeolewa kama anavyofanyaga.
Si tamani, manake mimi ni mutu wa Mungu, na NAJUA MUNGU NI MWEMA, KAMA KAMPANGIA MJA WAKE KUOLEWA ATAOLEWAAAA TU. KAOLEWA KIM KARDASHIAN NDOA 3 ITAKUWA WEMA? KAOLEWA AMBER ROSE, ITAKUWA WEMA? ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAMU HAWEZI KUKITENGUA. Wewe binadamu tu kesho huna uhakika ya kufika so maneno yako hata kwenye khanga yapo
 
Oya wadau,sina sikia Wema ni Tasa au?

Ndio TASA MPAKA ATAKOPO PATA MWANAUME ANAEMTAKA YEYE, ATAEMUHESHIMU NA KUMUOA KIMILA NA KIDINI, NDO ATAVOZAA HAPO TU. VINGINEVYO NI TASA SUGUU DR. MWAKA MWENYEWE KAMSHINDWAA
 
Vya Zari vinakuhusu nini, maisha yako ya ajabu unamwita mwanamke anayejielewa bibi na wrwe uitweje na majanga yote.

Wivu tu umewajaa, kwani Mrs Chibu anamfungua w miguu.

Umeandika upu.pu
HAHAHAAAAA! WEWE VYA ZARI VINAKUHUSU NINI PIA? Kwa hio maisha yako wewe unataka kutuaminisha hapa sio ya ajabu ajabu? HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA! Beach pleaseeeeeeeeeee!

Kuwa BIBI NAYO BARAKA MJUE, WATU KIBAO WAMETAMANII NA KUMUOMBA MUNGU WAIFIKIE HII 40 SOMETHING YETU NA ZARII HAWAKUJAALIWA. Afu nyie mnakufuru hapa?

UZEE NI BARAKA TOKA KWA MUNGU.

Chibu hana MRS, hajaoa wala kulipa mahari. ANA WAZAA HOVYOO TU, A.K.A Baby Mama kizungu.
 
Wema is 27, sasa ujinga gani? Ujinga ndo mnamlisha huyo bibi wa 44 aendelee kukibemenda kitoto cha 26. HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! Mama D I PITY YOU. .....
Pamoja na kutotaka kukataa maono yako, ila hapo naomba uangalie upande wa pili wa shilingi. I think the relationship ipo more kibiashara. Siamini Diamond bila Zari angalifika huko alipofika. Relationship ni give and take kama ni uzuri hata tausi anao. Hivyo hata mama D anafaidi matunda. Tuache kufikiria masuala ya mapenzi yasiyo na faida kwa pande zote. Ndo maana humu JF utakuta watu kama wewe au Miss Chagga, Evelyn Salt et. al. wanatania kuwa mwanaume pesa kama korodani na paka anazo. Nakuapia kama relationship haina faida kwa pande zote mbili jua kuwa mwisho wake ni karibu sana.
 
Ataleta wajukuu aikolewa. Mijukuu ya kuokota hatutaki. Tushamuachia mama D, wajukuu wa 3, wote ndoa hakuna ama imevunjikaaa
Lakini unadhani atazaa ndani ya ndoa kwa sasa,naye bado anataka ujana na mileage inakwenda,mwenzake alizaa mapema, sasa hivi yuko busy kumaintain,hivi wakati mama Đ,ana age ya Wema alikuwa tayari. Keshaingia leba mara ngapi?
 
Si tamani, manake mimi ni mutu wa Mungu, na NAJUA MUNGU NI MWEMA, KAMA KAMPANGIA MJA WAKE KUOLEWA ATAOLEWAAAA TU. KAOLEWA KIM KARDASHIAN NDOA 3 ITAKUWA WEMA? KAOLEWA AMBER ROSE, ITAKUWA WEMA? ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAMU HAWEZI KUKITENGUA. Wewe binadamu tu kesho huna uhakika ya kufika so maneno yako hata kwenye khanga yapo
Naona Zari anawafanya mpaka mnaota mchana kweupe mpendwa. Endelea kuota
 
MORALS NDO HUKO KUTOKUZAA HOVYOOOOOO! Manake hilo swala halitomdhuru yeye tu, litamuaffect hata huyo mtoto ataealiwa bila kufata maadili na kanuni za kidini. TUWAHURUMIE HAWA WATOTO, WANA HARAMU WAMEZIDI SANAA SIKU HIZI.
Kanuni za dini Wema hajawahi kuzifata hata siku moja, kakiri kutoa mimba ya Kanumba na mambo mengine kibao ya hovyo

Alafu hakuna anayemshauri azae bila kuolewa atafute mume aolewe na yeye azae mtoto wake ambaye ni "mzuri"... Tupunguze hizi kelele kwenye social networks
 
Naona Zari anawafanya mpaka mnaota mchana kweupe mpendwa. Endelea kuota

SI WATU WA MUNGU BWANAAA, Tunakemea tabia ya UBEMENDAJIIIIIIII VITOTO! Eee Mungu niepushie kizazi changu kima cha BIBI hili, yasije kumkumba mwanagu. Mungu wewe ndo muweza ya yote, waepushe wanangu kabisaa na mibibi iliochikaaa, imezeeka na kubemenda watoto wa wenzao.
 
Back
Top Bottom