Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo hii picha unayotumia kama avatar ni yako?Mimi bibi ndiooo, tenaaa kikongweeee ndo maana nimemshauri mjukuu wangu Wema Sepetu. Hahahahaaa! Una lingine? Bibi mwenzangu Z, anataka kumfanya vibaya mjukuu wetu.
Sitakua wa kwanza na sina tatizo na hilo ,Asante pia kwa baraka ,Ngoja BINTI ZAKO, WAJE WAZALIE HAPO KWAKO, WAKULTEE WAJUKUU KEDEKEDE na Mungu akubariki uwepo kushuhudia neema hizo. Amen!
Ni sawa ila bado hujajibu swali langu lara 1Jiulize Obama raisi ana watoto 2. HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA!
Si tamani, manake mimi ni mutu wa Mungu, na NAJUA MUNGU NI MWEMA, KAMA KAMPANGIA MJA WAKE KUOLEWA ATAOLEWAAAA TU. KAOLEWA KIM KARDASHIAN NDOA 3 ITAKUWA WEMA? KAOLEWA AMBER ROSE, ITAKUWA WEMA? ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAMU HAWEZI KUKITENGUA. Wewe binadamu tu kesho huna uhakika ya kufika so maneno yako hata kwenye khanga yapohahaaa kumbe unatamani aolewe???? utasubiria sana, ataendelea tu kudanganya nimeolewa kama anavyofanyaga.
Ataolewa na nani??tulitafakari na hili piaAkatoe haraka sanaaaaa. Awaache waswazi washindane kuzaaaaa. Yeye mtoto wa balozi bwanaaaa, she should have morals, AZAE ATAKAPO OLEWA KAMA DINI YAKE YA KIISLAMU INAVOAGIZAAAA.
HAHAHAAAAA! WEWE VYA ZARI VINAKUHUSU NINI PIA? Kwa hio maisha yako wewe unataka kutuaminisha hapa sio ya ajabu ajabu? HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAA! Beach pleaseeeeeeeeeee!Vya Zari vinakuhusu nini, maisha yako ya ajabu unamwita mwanamke anayejielewa bibi na wrwe uitweje na majanga yote.
Wivu tu umewajaa, kwani Mrs Chibu anamfungua w miguu.
Umeandika upu.pu
Pamoja na kutotaka kukataa maono yako, ila hapo naomba uangalie upande wa pili wa shilingi. I think the relationship ipo more kibiashara. Siamini Diamond bila Zari angalifika huko alipofika. Relationship ni give and take kama ni uzuri hata tausi anao. Hivyo hata mama D anafaidi matunda. Tuache kufikiria masuala ya mapenzi yasiyo na faida kwa pande zote. Ndo maana humu JF utakuta watu kama wewe au Miss Chagga, Evelyn Salt et. al. wanatania kuwa mwanaume pesa kama korodani na paka anazo. Nakuapia kama relationship haina faida kwa pande zote mbili jua kuwa mwisho wake ni karibu sana.Wema is 27, sasa ujinga gani? Ujinga ndo mnamlisha huyo bibi wa 44 aendelee kukibemenda kitoto cha 26. HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! Mama D I PITY YOU. .....
Lakini unadhani atazaa ndani ya ndoa kwa sasa,naye bado anataka ujana na mileage inakwenda,mwenzake alizaa mapema, sasa hivi yuko busy kumaintain,hivi wakati mama Đ,ana age ya Wema alikuwa tayari. Keshaingia leba mara ngapi?Ataleta wajukuu aikolewa. Mijukuu ya kuokota hatutaki. Tushamuachia mama D, wajukuu wa 3, wote ndoa hakuna ama imevunjikaaa
Naona Zari anawafanya mpaka mnaota mchana kweupe mpendwa. Endelea kuotaSi tamani, manake mimi ni mutu wa Mungu, na NAJUA MUNGU NI MWEMA, KAMA KAMPANGIA MJA WAKE KUOLEWA ATAOLEWAAAA TU. KAOLEWA KIM KARDASHIAN NDOA 3 ITAKUWA WEMA? KAOLEWA AMBER ROSE, ITAKUWA WEMA? ALICHOKIPANGA MUNGU BINADAMU HAWEZI KUKITENGUA. Wewe binadamu tu kesho huna uhakika ya kufika so maneno yako hata kwenye khanga yapo
Ataolewa na nani??tulitafakari na hili pia
Kanuni za dini Wema hajawahi kuzifata hata siku moja, kakiri kutoa mimba ya Kanumba na mambo mengine kibao ya hovyoMORALS NDO HUKO KUTOKUZAA HOVYOOOOOO! Manake hilo swala halitomdhuru yeye tu, litamuaffect hata huyo mtoto ataealiwa bila kufata maadili na kanuni za kidini. TUWAHURUMIE HAWA WATOTO, WANA HARAMU WAMEZIDI SANAA SIKU HIZI.
Naona Zari anawafanya mpaka mnaota mchana kweupe mpendwa. Endelea kuota