Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Muda gani unaoendaa? NDO MAANA NIKAKWAMBIA NYIE WASWAHILI? Obama raisi ana watoto 2 tu, tena mkewe aliwazaa kwenye 30s huko! Kim K kazaa 30s, Beyonce 30s, Rihana mwenyewe atzaa 30s.

Mtu kumpata sio swala la umri? Ni swala la bahati na rehema za Mungu. Kama Mungu hajapanga ampate kwenye umri mnaotaka nyie ndo hajapangaaa. Mda ukifika atapata kama Kim alivompata Kanye baada ya kushindwana na Chriss Humphris na wengine.
Chaaaa kutokutulia kwake kunamfanya akose mume, kambadilisha had din mwanaume wa watu il aolewe and still kashindwa kutulia had kamwagwa...
Labda akakae nje ndyo aolewe na ndoa idumu ila kibongo bongo atatumiwa tu kama wengine so at least azae tu incase akiipata hyo mimba
 
Kutotulia kupi? Kwanini akae kwenye ABUSING RELATIONSHIP? Mfano D alikuwa maluuni mbwa, always cheating! Mara Jojo, Penny, Menina, Irene, et al,ya nini kungangania mtu wa hivo? Ndo maana nikasema nyie ni wadada wa uswazi HAMJITAMBUI hata mwanaume akunyanyase vipi upo tuuu. Mwenzenu mtoto wa BALOZI ana exposure, hana sababu ya kunyanyasika kwa mwanaume yeyote yule. Mwanaume akizingua TUPA KULEEEEEEEEEE!
Ataolewa hap hapa BONGOOOOOOO, nishawaambia MUNGU TU MPAJI NYIE BINADAMU ZEU KELELE TU WAKATI UHAKIKA WA KUJA KUANDIKA HAPA KESHO HAMNA.
 
Hahahahaaaaa! Tatizo wewe unataka kuji separate na ushauri wako, which makes you a HYPOCRITE. Mwenzio nimeungana na ushauri wangu and i am credible to give it. NDO YALE WEWE HUJAZAA UNAMSHAURI MTU AZAE TU BILA NDOA. KWANINI USIANZE KUZAA WEWE? OOH MIMI KAJAMBA NANI! Mxiuuuuuuuuuuuu!

If Wema is a disgrace WHAT ARE YOU? Au unataka nikukumbushe yako ya humu humu JF? HAHAHAHAAAAAAAAAAAAA! Sitaki dhambi sahivi.
Hahahahahhaha Mbona unapanikiii fasta mamaa mxxxy na biyatch nyingiii,mara ukumbushe yangu ya Jf,I have no regrets yapo anaetaka akafufue thread asomee sijazifuta,
Ishuuu ni kwamba unakataa kukubali ukweli kuwa wema ana matatizoo jamiii inamjua kwa sifa mbaya ukatae ukubali ndo ukweli,anataka ndoa Leo em niambie kwa tabia na sifa zile mwanaume yupi ataoa pale,anajitangaza wazi kabisa katoa mimba,ni sifa hiyo??af we unamwambia aendelee kusubiri tu,uzee unakuja urembo unaisha na tutamsahauuuuuu,
Anapokosea tuseme kabisa kakosea sio kuremba weee kila kitu yuko Sawa wakati ana mislead vitoto vingi mitaani humu vinaona maisha easssy kumbe sio
 
Hahahahahaaaaaaaaaa! Mi sijapanic, wala sipanikigi humu hata siku moja. Maybe wewe ndo una unapanic! MAYBE. Kama hujapanic twende mdogo mdogo. Beach pleaseeeeeeee is a metaphor! Na inabidi isemwe kama ilivo.

Yako ya JF IS PART OF YOU! HAHAHAHAAAAAAA! Why have concerns with a PART OF YOU? Good that you have no regrets ili NITUMIE KAMA MIFANO HALISI TUPIME KATI YA WEWE NA WEMA WHO IS A DISGRACE.

Wewe unavomuona wewe ni combinationa ya maisha yako, elimu, exposure vyako wewe ambavo ni TOFAUTI NA MIMI, SO KAMWE HATUWEZI KUMUONA WEMA SAWA.

Na ukweli unaoona wewe sio lazima uwe ukweli kwa wote kama ulivomuona Money Stunna mzuri, si wengine tulimuona kawaida sanaaa. So usitufosi kuona mambo unavoona wewe.

Kutoa mimba kama wewe unaona sawa kuzaa mtoto umtese wengine tunaona bora uteseke wewe ila umuepushe mtoto na makosa yako ya duaniani. NI MAONA TU.

HATA WEWE UZEE UNAKUJIA, MIMI UZEE UNANIJIA SO WEMA HATOZEEKA PEKE YAKE, ATAZEEKA NA HIKI KIZAZI CHOTE. Sasa badala uwaze uzee wako unakomaa na uzee wa Wema. Hahahahaaaaaaaaaaa! PATHETIC.

vITOTO VINGI HUMU vikijukujaaaaaaa, vitaelewa naongea nini. HAHAHAAAAAAAAA
 
SI TATIZOOOO, NDO MAANA NIMESIFIA NI MAMBA YETUUU WANAWAKE KWENYE KUZAAA. Aongeze hata 10, nchi huru hiii lakini sio kumsakama binti mdogo, hajaolewa yupo kwao azae. NDO MAADILI GANI HAYO SASA? NDO DINI ZINAVOTAKA HIVO MTU AZAE HOVYO HOVYO?
Unaumwa wewe...!!! Nipe hesabu kidogo. Ni watoto wapi wengi kati ya wale wa ndoa na waliozaliwa nje ya ndoa...!!! Halafu hata dogo akipita pale hamna shida inarudi kama awali sema tu siyo ktk ubikira...!! Then akizaa mara kwa mara ile kitu yake itakuwa active sana kadiri ya Darwin theory of use and disuse...!!! Kwani kuolewa ni kitu gani bwana. Watu wapo katika ndoa mwaka wa sita hawajagongana hadi leo na wanalala na nguo...!!!!
 
Wewe hufai kumpa ushauri huyo Wema hata na mtu mwingine yeyote...huna hicho kipaji

HAHAHAHAAAAAAAAAA! Kwa hio wewe ndo UNA KIPAJI HIKO, haya shauriii wewe basi mimi nakusikiliza!
 
Unaumwa wewe...!!! Nipe hesabu kidogo. Ni watoto wapi wengi kati ya wale wa ndoa na waliozaliwa nje ya ndoa...!!! Halafu hata dogo akipita pale hamna shida inarudi kama awali sema tu siyo ktk ubikira...!! Then akizaa mara kwa mara ile kitu yake itakuwa active sana kadiri ya Darwin theory of use and disuse...!!! Kwani kuolewa ni kitu gani bwana. Watu wapo katika ndoa mwaka wa sita hawajagongana hadi leo na wanalala na nguo...!!!!

MWANA HARAMU NI HARAMU TUUUUUUUUUU, Na mzaa HARAMU ni mzaa HARAMUUU tuu, iwe kazaa mara 1, au 10. Mwanamke AKIZAA mambo mengi mwilini mwake YANABADILIKA, KAMWE HATA KWA SURGERY HAWEZI KUWA KAMA KIGORI AMBAE HAPITISHA KICHWA CHINI. Nakwambia hivooo mimi mwanamke nimefundwaaa.
 
Kweli mwalimu wetu kipofu, wema tunaona akililia mtoto hapa anaambiwa asizae.

Boss lady anawatesa mademu wa zamani, pamoja na kuzaa mara nne hata kama zipo zilizotoka huwezi mlinganisha na sepetunga.

Tena amshukuru platinumz aliyempa pesa ya kwenda kurepea ule mkorogo angeshaoza. Hata checkup tuone kama ataenda tena, pfuuuuuuu.
 
Lara 1 nakuhesab kama mwanamke kiazi sana humu jf.
Pia kuprent life badala ya kutafuta.
Wema mwenyewe yuko desperate and confused.
Na naamin ni witiri ama tasa....hana shufwa yule

Hahahahaaaaaaaaaa! Thank you for the compliment, i am humbled. Sawa Wema is desperate na wewe wise boy you are calm as the ocean! HAHAHAAAAAAAAAAA!

THE BEAUTY OF LIFE IS IT FU.CKS US ALL.
 
Kweli mwalimu wetu kipofu, wema tunaona akililia mtoto hapa anaambiwa asizae.

Boss lady anawatesa mademu wa zamani, pamoja na kuzaa mara nne hata kama zipo zilizotoka huwezi mlinganisha na sepetunga.

Tena amshukuru platinumz aliyempa pesa ya kwenda kurepea ule mkorogo angeshaoza. Hata checkup tuone kama ataenda tena, pfuuuuuuu.

HAHAHAAAAAAAAAA! You want to bring her to your level and beat her with experience. Mnataka nae azae hovyooo, ili mfurahie awe sawa na nyie? HAZAI MTU PALE.

Boss lady ni faraja ya ma BABY MAMA na divorced ladies, hio liko wazi, coz anawa inspire mtapata vitoto vya kubemenda kama D. HAHAHAAAAAAAAAAA!

Hata jikorogue vipi bado kigori bado HAJAZAAAAAAAAA huwezi mfananisha na mzazi.
 
Wema yupo anaongelewa hapa? huyo mwizi wa umeme anayetoaga mimba???
Umeme muibe nyie, akiiba Wema inakuwa ishu? HAHAHAAAAAAAAAA! Mwenyewe umeme naiba leo, kesho, kesho kutwa!
 
Una bifu na bosslady kisa anajitegemea, ana uwezo wake kifedha...workhard kuishi the way anavyoishi...chuki binafsi hazifai

HAHAHAAAAAAAAAAAA! Anajitegemea anamtegemea EX HUBBY? Work hard kupiga picha au? Kuishi pale Madale au? HAHAHAAAAAAAA! Hata chuki binafsi zinaangalia pa kuchukia. Si bora nimchukie Klynn kama nina hamu ya kuchukia mtu.
 
Mhhhhh napita tu, Lara 1 nasubiri kisa kingine mpenzi.... Kwenye ile fani yako ileeeeeee!!!!
 
Hahahahahaaaaaaaaaa! Mi sijapanic, wala sipanikigi humu hata siku moja. Maybe wewe ndo una unapanic! MAYBE. Kama hujapanic twende mdogo mdogo. Beach pleaseeeeeeee is a metaphor! Na inabidi isemwe kama ilivo.

Yako ya JF IS PART OF YOU! HAHAHAHAAAAAAA! Why have concerns with a PART OF YOU? Good that you have no regrets ili NITUMIE KAMA MIFANO HALISI TUPIME KATI YA WEWE NA WEMA WHO IS A DISGRACE.

Wewe unavomuona wewe ni combinationa ya maisha yako, elimu, exposure vyako wewe ambavo ni TOFAUTI NA MIMI, SO KAMWE HATUWEZI KUMUONA WEMA SAWA.

Na ukweli unaoona wewe sio lazima uwe ukweli kwa wote kama ulivomuona Money Stunna mzuri, si wengine tulimuona kawaida sanaaa. So usitufosi kuona mambo unavoona wewe.

Kutoa mimba kama wewe unaona sawa kuzaa mtoto umtese wengine tunaona bora uteseke wewe ila umuepushe mtoto na makosa yako ya duaniani. NI MAONA TU.

HATA WEWE UZEE UNAKUJIA, MIMI UZEE UNANIJIA SO WEMA HATOZEEKA PEKE YAKE, ATAZEEKA NA HIKI KIZAZI CHOTE. Sasa badala uwaze uzee wako unakomaa na uzee wa Wema. Hahahahaaaaaaaaaaa! PATHETIC.

vITOTO VINGI HUMU vikijukujaaaaaaa, vitaelewa naongea nini. HAHAHAAAAAAAAA
Hahahhaha Kuna kapointi kazuri umekasema mwnyw hapo juu
"Na ukweli unaoona wewe sio lazima uwe ukweli kwa wote So usitufosi kuona mambo unavoona wewe."
Hv hata hustuki thread zimaaa hamna anaemsapoti wema na majanga yake,we ndo unaetufosi jamii nzima hapa wkt we know all the crap abt wema
Hehehe ya @MoneyStunna u bought it tooo hahahaahha ilikua changamsha gengee Jf ukadhani kweli,muulize ashuhudie hapa
Wema tunakomaa nae ndio mana she is a disgrace abadilike,
Aging of course ts human nature atleast age gracefully basiii,hapo 28 mwili umemlepetwa tyr,akizaaa jee, akizaa wa4???afu mnataka kumweka level moja na zari plssss
She fake,sio ngozi yake Ile mchubuo mara sijui surgery China,hata nywele zake natural hatuzion fake fake everything,... Jipangeeee ndo umshauri mwenzio
 
Back
Top Bottom