Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Hapa ndio utaona umuhimu wa kuwa na viakili vya ziada.....

Tecno na Huawei are becoming Big Players kwenye smartphone market duniani. Na their target market kubwa sasa hivi ni Africa. Celebrity(?) kama Wema ndio wanaotumiwa na haya makampuni for marketing, leo unaponda Tecno na Huawei, kesho wakitaka mtu wa kuwa front model wao utaitwa kweli?

Kuna umuhimu wa watu kufundishwa kuchunga midomo yao....
 
tukizungumzia brand za simu. basi tunaanza na nokia, samsung, lg, apple.....


then wengine wanafuata...... hv mtu anaetumia sub woofer ya sea piano na anaetumia sub woofer. ya lg au samsung wapo sawa?????...... so haya majina ya hizi brand yanatofauti majaamen........
 
KwNi uongo?? Galaxy utafanansha na tecno?? Kwa taarifa yenu tecno ni za africa tu..mbele hawazitambui

Hata kama nikweli hizo simu zina kosa kitugani kwenye huu ulimwengu wa simu?
 
Lakini kiukweli hayo majina ya simu hayana mashiko masikioni
 

Kiukweli hawezi pata soko la kuwa balozi wao maana ameshawanyea!!
 
Hata Aristote anatumia hizo simu?
 
Huyu nae huaga anajiona mno, hata yule chawa kumponda naona ni sahihi tu,

mara aseme wanaotembea kwa mguu mna kazi wakati asilimia kubwa ya watanzania ni masikini
 
Hivi Mtu anakebehi Tekno kisa bei, kwani nikiuzwa milioni moja ndio ataiheshimu?.

Na Mtu huyo anaishi Nchi ambayo Mtanzania Mwenzake leo hii akifanikiwa kutengeneza simu kubwa kama ile chupa kubwa ya Kilimanjaro...na ikaweza walau tu kutoa mlio wa kupiga basi media zote za nchi zinahamia kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…