ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Diamond piga kazi umtunze mama yako na familia yako na mwanamke anayejitambua kuishi na wewe,Wema ni majanga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tutawajua watumiaji wa Huawei na Tecno humu Jf kupitia hii thread...
Umekosea sana kumwita mbeba mabegi.Mbeba begi anakuwa na cheocheo kidogo huyu mfua chupi wa wema.We kakunulia ya ajee mbeba pochi wakeee???
Angespecify kabisa ni Huawei 330, Huawei 300, Tecno M3 na Tecno P5.
Umekosea sana kumwita mbeba mabegi.Mbeba begi anakuwa na cheocheo kidogo huyu mfua chupi wa wema.
Umemuona anavotoka povu kumtetea bosi wake?
Hahaha! we ngosha hufai.
lolowapi onesha simu yako, nimeshaona una dalili za kutaka kujishaua, kumbe ni wale wale tu kasoro tarehe.Wema kazungumza ukweli
Leo tutawajua watumiaji wa Huawei na Tecno humu Jf kupitia hii thread...
Diamond piga kazi umtunze mama yako na familia yako na mwanamke anayejitambua kuishi na wewe,Wema ni majanga tu.
Bora tecno /Huawei ya jasho langu kwa raha zangu ......kuliko yako Gallaxy ya kufumuliwa malinda na kina CK , Koma Bibi wewe !
Wema sepetu wanaume wewe, skendo we we, umaarufu wewe, uzuri wewe, sasa unataka kuhalibu mpaka taluma za watu sasa ulisomea wap mambo ya simu wewe au ndo ukisikia matangazo ya kibiashara kuhusu Sumsung, Iphone/Apple, sony ,unapagawa na kuponda Tecno na Huawei nakushauri Fanya unayo yaweza taluma za watu achana nazo hz cm we tumia tu
Mmmmmh kayasemea wapi??? Haiwezekani global wasiipublish hii
hahahaaa!!Wataipublish tu, bado wanakusanya uongo mwingine wa ziada!
Nilikuwa natafuta comments zako.:couch2:Pole wema Stress za kuachwaaa hizooooo, je wanaomsifia wanatumia nini au wote kawanunulia, yaan wote wakupende we malaikaaa hhhhhhaaaaaaaaaaa