Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Diamond piga kazi umtunze mama yako na familia yako na mwanamke anayejitambua kuishi na wewe,Wema ni majanga tu.
 
Tatizo lake hajui simu huwa ananunua jina la simu.
Kwa mtu anaejua simu hawezi tamka maneno kama yake kunasimu nyingi hazina majina makuwa lakin znaviwango na vtu vingi kuliko au kama hizo simu zenye majina makubwa na znapatikana kwa bei nafuu mfano #Oppo find 7
 
poor her, zero brain, kwa taarifa yako wema wenye tecno na those kindof ndio wanajielewa, hununua simu yenye kila kitu kwa bei nafuu, ''value for money'' wasiojilewa kama wewe wema ulimbukeni unawasumbua, hutaka simu za bei ya ghali for show off, wenye tecno majority of em wananyumba zao na wanatembelea magari yao.
 
Diamond piga kazi umtunze mama yako na familia yako na mwanamke anayejitambua kuishi na wewe,Wema ni majanga tu.

umeona eeeh!!
ila WEMA anatafta kiki maana asa hv kafulia mbayaaa
So hio ni ntoke vp
ngastuka!!!
 
Wema sepetu wanaume wewe, skendo we we, umaarufu wewe, uzuri wewe, sasa unataka kuhalibu mpaka taluma za watu sasa ulisomea wap mambo ya simu wewe au ndo ukisikia matangazo ya kibiashara kuhusu Sumsung, Iphone/Apple, sony ,unapagawa na kuponda Tecno na Huawei nakushauri Fanya unayo yaweza taluma za watu achana nazo hz cm we tumia tu
 
Alietengeneza Tecno kapewa tuzo juzi kati hapaa na kina Mengi ye asubiri kupewa tuzo ya ukahaba
 
Mjinga huyu demu,yeye yupo juu zaidi,anajidanganya kwa pesa sa kuhongwa,atafute zake tuone kama atadharau watu namna hii,by the way natumia Huawei P6,kwani mawasiliano sipati?hata kama ningekuwa na Nokia 3310,tatizo ni nini?ngoja afike 40yrs ndo atajua jiji
 
Back
Top Bottom