Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Am praudi tu yuz Tecno F7 boonge la cm.
Labda nisaidiwe kujua nikikosacho kwenye cm hii tofauti na s4!!
 
ha ha ha!
even the color of a chamelion is not for the beauty but for the survival.
 
Ila tuacheni utani tecno siyo simu kwahiyo wenye nazo dongo inawahusu
 
Hahahha..nipite kimya kimya mm...
8a5dd4f0333511e3b59422000a9f13f8_7.jpg

CC:Viol, King Kong III, Heaven on Earth,lolowapi, Dinazarde
 
Tatizo lake hajui simu huwa ananunua jina la simu.
Kwa mtu anaejua simu hawezi tamka maneno kama yake kunasimu nyingi hazina majina makuwa lakin znaviwango na vtu vingi kuliko au kama hizo simu zenye majina makubwa na znapatikana kwa bei nafuu mfano #Oppo find 7

Watu wanafuata upepo,I phone nilitumia na hata sikuipenda kama ilivyokuwa blackberry 9800 ya kuslide,galaxy iko poa,but kuna makampuni ya simu hayajulikani na hata bongo hawauzo kivile,mfano Anglia kama Alcatel, ina simu za ukweli lakini hata haijulikani kivile,mi napenda kitu ambacho watumiaji wake wachache na si lazima kufanana wote
 
Tatizo lake hajui simu huwa ananunua jina la simu.
Kwa mtu anaejua simu hawezi tamka maneno kama yake kunasimu nyingi hazina majina makuwa lakin znaviwango na vtu vingi kuliko au kama hizo simu zenye majina makubwa na znapatikana kwa bei nafuu mfano #Oppo find 7

Im interested mkui inauzwaje hii na ni wapi?
 
Hahahahaha nafikiri kila mtu ameanza kuamini kuwa Wema anaumwa!

Sasa kama mtu anafikiri kuwa wanao tumia aina Fulani ya simu hawawezi kumpa ushauri kwanini tusiseme ni mgonjwa?
 
Unaweza kumwona mtu ana jina kubwa kwenye jamii basi ukaamini hata akili zake ni kubwa vilevile. Lakini kumbe kuna waliozidiwa umaarufu kuliko akili kichwani.

Binafsi nimesha msamehe, nimemfananisha na watu ambao huwa wanahukumu wenzao kulingana na mavazi waliyovaa!!
Ieleweweke kwa wengine pia kuwa usichukulie kuwa ndivyo nilivyo kwa sababu ya ulivyoniona kwa nnje,
Simu, Gari, au aina ya mavazi haiwakilishi undani wa MTU!!
 
Dinazarde Kuna ka ubuyu insta kule eti bi Dada kaachwa na domo kisa kaamua kuwa na menina na ana kamdada ka kizungu huko ughaibuni na ndo maana huwa haendi nae.Sijui kweli!!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom