Wema uliwahi kukuponza?

Wema uliwahi kukuponza?

Nilifanya trip ya mashambani huko kwa pikipiki njiani nikakutana na boda boda kabeba mafuta ya petrol madumu kibao tu

Njia ilikuwa mbaya na wakati huo bado tupo kwa mbali na alikuwa kwenye upande wangu na ili kuhama kule angeweza hata kuanguka,sasa ili kumsaidia ikabid mimi nitembelee upande wake,cha ajabu ile jamaa kafika karibu akahamia ule upande wake sasa tukachanganyana kupishana tukawa tumegongana ila hatukuumia maana wote tulikuwa kwenye mwendo wa kawaida lakin yeye alidondoka hadi chini na baadhi ya madumu yakaanza kutoa mafuta

Jamaa alinikazia nimlipe,ili kumaliza kesi ilibidi tu nimlipe maana kweli kosa lilikuwa langu maana nilikuwa kwenye upande ambao sio wangu

Bado pia pikipiki zetu ziliharibika ilibidi kutengeneza,nilijuta kuwa na wema wa kijinga kama huo tena
 
Hizo cha mtoto, Je, ukimsomesha mtoto wa ndugu yako, kaka yako kwa mfano. Baadaye kaka yako na mtoto wake huyo uliyemsomesha waanze kukusema vibaya kuwa ulijipendekeza?
Tunatofautiana kila mmoja limekutana la aina yake unaweza kusema lako kubwa ila ukikutana na la mwenzako unaona yeye lilimpata kubwa zaidi
 
Tupo kwenye daladala.
Dada akanyanyuka tupishane kwenye siti, amekalia uchafu, nikamwambia dada samahani jitazame vyema huko nyuma umechafuka
Nikajibiwa wewe choko nini, kanichafua baba yako...
Nikatabasamu tu..
😂😂Aisee
 
Kuna mmama alinifwata et nimpe laki na hamsini anaenda kudabo yani ndani ya masaa matatu atailudisha daaaaaaah yani kwenye kumuomba ela yangu alinipa jibu kwa meseji

KWANI LAZIMA NIKULIPE ELA???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duuh ugwaduu wako alliupimaa
 
Nilifanya trip ya mashambani huko kwa pikipiki njiani nikakutana na boda boda kabeba mafuta ya petrol madumu kibao tu

Njia ilikuwa mbaya na wakati huo bado tupo kwa mbali na alikuwa kwenye upande wangu na ili kuhama kule angeweza hata kuanguka,sasa ili kumsaidia ikabid mimi nitembelee upande wake,cha ajabu ile jamaa kafika karibu akahamia ule upande wake sasa tukachanganyana kupishana tukawa tumegongana ila hatukuumia maana wote tulikuwa kwenye mwendo wa kawaida lakin yeye alidondoka hadi chini na baadhi ya madumu yakaanza kutoa mafuta

Jamaa alinikazia nimlipe,ili kumaliza kesi ilibidi tu nimlipe maana kweli kosa lilikuwa langu maana nilikuwa kwenye upande ambao sio wangu

Bado pia pikipiki zetu ziliharibika ilibidi kutengeneza,nilijuta kuwa na wema wa kijinga kama huo tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duuh pole mzee
 
Back
Top Bottom