To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤣🤭It happens in life
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤭It happens in life
HaupoMkuu uchawi upo au haupo?
SawaHaupo
Why you laugh dear🤣🤣🤣🤣🤭
I think you're going to be the best in EnglishWhy you laugh dear
Why are you laughing dear/my dear?Why you laugh dear
😂🤣Kuna mmama alinifwata et nimpe laki na hamsini anaenda kudabo yani ndani ya masaa matatu atailudisha daaaaaaah yani kwenye kumuomba ela yangu alinipa jibu kwa meseji
KWANI LAZIMA NIKULIPE ELA???
Haya hongera na kuwa na siku njema.Achana na imani za kishirikina, uchawi na mapepo, hutakaa utatue changamoto zako na matatizo yako hata moja zaidi ya kutupia wengine lawama kuwa ndio wamekufanyizia.
Tunatofautiana kila mmoja limekutana la aina yake unaweza kusema lako kubwa ila ukikutana na la mwenzako unaona yeye lilimpata kubwa zaidiHizo cha mtoto, Je, ukimsomesha mtoto wa ndugu yako, kaka yako kwa mfano. Baadaye kaka yako na mtoto wake huyo uliyemsomesha waanze kukusema vibaya kuwa ulijipendekeza?
Ooh thank you sir i understnding nowWhy are you laughing dear/my dear?
For sure i will be good soon madameI think you're going to be the best in English
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duuh ugwaduu wako alliupimaaKuna mmama alinifwata et nimpe laki na hamsini anaenda kudabo yani ndani ya masaa matatu atailudisha daaaaaaah yani kwenye kumuomba ela yangu alinipa jibu kwa meseji
KWANI LAZIMA NIKULIPE ELA???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duuh pole mzeeNilifanya trip ya mashambani huko kwa pikipiki njiani nikakutana na boda boda kabeba mafuta ya petrol madumu kibao tu
Njia ilikuwa mbaya na wakati huo bado tupo kwa mbali na alikuwa kwenye upande wangu na ili kuhama kule angeweza hata kuanguka,sasa ili kumsaidia ikabid mimi nitembelee upande wake,cha ajabu ile jamaa kafika karibu akahamia ule upande wake sasa tukachanganyana kupishana tukawa tumegongana ila hatukuumia maana wote tulikuwa kwenye mwendo wa kawaida lakin yeye alidondoka hadi chini na baadhi ya madumu yakaanza kutoa mafuta
Jamaa alinikazia nimlipe,ili kumaliza kesi ilibidi tu nimlipe maana kweli kosa lilikuwa langu maana nilikuwa kwenye upande ambao sio wangu
Bado pia pikipiki zetu ziliharibika ilibidi kutengeneza,nilijuta kuwa na wema wa kijinga kama huo tena