Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Alichokipata kwa Diamond naona hajawahi kukipata tena popote paleWema nae kazidi........aache kumfuatafuata Diamond.......ashike hamsini zake.........mbona kama anashindwa kumove on........
Bora aite watu wabaya sio mtoto
Ahsante..Nashukuru Mungu nimeuonaNa wewe pia mpendwa.....
Umeuona...
Amepost SnapchatMbona sijaona kwenye page ya Diamond alipojibu? Au ni wafuasi wake a.k.a team
Wema ni mgonjwa wa akili kabisa ...Wema nae kazidi........aache kumfuatafuata Diamond.......ashike hamsini zake.........mbona kama anashindwa kumove on........
Alichokipata kwa Diamond naona hajawahi kukipata tena popote pale
mbona kamjibu kiume tu bichau kaingiaje hapo...Anafaa katika kipindi cha leo tena ama ajiunge na bi.chau maana ana majibu ya kidada sana,ingekuwa hekima kama angekaa kimya tu ila mjaa asili haachi asili na asili yake ndo iyo ..
AF mtu akiongea kitu na wewe ukamjibu kwa jazba,bhas ameongea kitu chenye ukweli ndani yake Ila wema nae hataki kukubali kuwa nyota yake inazima..birthday kila mwaka lakini sijui huwa anakua nini zaid ya kuhesabu namba
NI ugonvi wa maneno kati ya wema, Diamond na zari, wema alipost picha ya mtoto wa esma (dada wa diamond) akasifia kuwa mtoto ni mzuri sana kama pipi shabiki mmoja akauliza na tiffah? Wema akamjibu huyo shabiki "basi tungehama nchi" kwa ilivotafsiriwa kamaanisha huyo tiffah mtoto wa diamond angekua mzuri angehama nchi kwa direct maana tiffah ni mbaya, zari nae akatoa yake kuwa watu wasio na womanhood ndio wanaweza kumuita mtoto Mbaya..... Diamond ndo leo kamaliza kabisaaaa kaweka picha akiwa na mwanae akaandika "shika mimba uzae wako mzuri if you can" ligi ndo imefikia hapo hope umeelewa
kwani mtoto sio mtu?Bora aite watu wabaya sio mtoto
Alichokipata kwa Diamond naona hajawahi kukipata tena popote pale
Kwani ana miaka mingapi kwa sasawema umri umekwenda japo anajiformat ili awe kijana lakini ndiyo hivyo mshale unakimbilia saa kumi jioni mtu mzima hovyooo, mambo anayofanya sasa hivi yangetakiwa yafanywe na mtoto wake .
Ndo hivyo....inabidia aongeze speed ili awahi kukipataAtafute vizuri......mbona vipo vingi tu......tena vizuri zaidi.......tatizo lake anaenda speed.......
Huyu Wema ni mgonjwa kabisa hivi mtoto wa mtu una mtukana ili iweje?Duu Aiseee nimekupata,picha kwangu zilikuwa hazifunguki,nakubaliana na zari kabisa,watoto wote wazuri na Kama unaona mtoto wa mwenzio mbaya Zaa wa kwako ,hahaaa mpambano mkali.
Kweli hapo kisu kilikita mfupa na hakika hiyo ndio ina uma sana....Sentesi imeishia Zaa wako mzuri "if you can" Hiyo if you can ndo tusi lilipo make anajua she can't teh teh
Bora hata Jokate ana amani kidogo....Nani hataki awe huru? Ye mwenyewe hayupo huru kabisa she is into diamond's life, siku ya show za diamond na ally Kiba bila shaka uliona post zake mara balozi wa wanyama mara wanyama wote hakuna asojua alikua anamsema diamond hivo jua tu ye mwenyewe hayupo huru na hujaamua kuwa huru na maisha yake