Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema bado hajasuguliwa diamond alichemka sana
Nami demu wangu alileta drama za Madam Sepenga. Akasema eti tupeane likizo. Nikamwambia mi siendagi likizo kama ndivyo ndo nshamaliza chuo. Hajaamini hadi leo.Umeonaee alileta zile za sekondari, baby tupeane likizo ya miezi 6, kuja kutahamaki baada ya likizo kuna mwenzako ana mtoto
Hiki kitabia kipo sana kule sekondary sasa niliposkia wema nae eti alimpa dai likizo i was like ok!!? Not at this life time bit.ch, diamond akaamua zake kuhitimu, sasa anaisoma noNami demu wangu alileta drama za Madam Sepenga. Akasema eti tupeane likizo. Nikamwambia mi siendagi likizo kama ndivyo ndo nshamaliza chuo. Hajaamini hadi leo.
Mfyuuuu!Ha a beg a beg plse such dramas of drug queens and day dreamers kidos not in Jamii plsease,them live Instagram eat instagram,worship and bealive everythng the c here on instagram and nothing else na great LUCIFAH instagram!aha chineke na she be who na miss Koikoi de falash,she needs devine devotion and spiritual delivarance from malignant Fame demonic possesion and so of her kind aha come to my synagogue will deliver miss koikoi na be so madam Wema! By the way she keeps the two toy funny dogs who cant even bite my soft sole tufyakwa!na she be fine ohh! Leave alone jamii forams u here me so!na place for GREAT THINKERS,not for MBULULAZ like Instagram okee! na bi so!
Celebrities forum ipo kwa ajili gani?Leave alone jamii forams u here me so!na place for GREAT THINKERS,not for MBULULAZ like Instagram okee! na bi so!
Haa haaa haaaa...hilo sonyo kama nakuona!Mfyuuuu!
Huyu wema k...ma ina muwasha hana bwana mjini sasa hivi hapa...ndio maana kutwa kujistress na chibu..ila this gal ni tahira kwakweli..why usifanye yako..huyo chibu angekuwa alishawah funga nae ndoa basi..jitu limetumiwa limetupwa basi mihasiraaa....na hatopata bwana wa maana huyu kahaba..atabaki ku act tu na mabwana za watu...wazazi tuwalee wanetu vzr huyu wema ni matokeo ya malez mabovu ya mamake....shwaain kbsaumeona eeh? jide kaachana tena na mume ila hana drama kama bibie,sijui mama ubaya kaumbwaje yani mswahili sanaaa,kamkomesha,azae wake mzuri, daah yani diamond kiboko kabisaaaa
Sasa atulize ball....c alikimbilia kwa wanaojua kuhonga aache watu waenjoy life yao....heehe yn anataman hizo gudtym anazokula zari awe yeye....aende kwenye vigodoro ndio alikozoea na drama zake...ooh nyumba milion 400 ....waaaapiiiiHakuachwa yeye ndo aliacha
Haswaaaaaaa homa imepanda...walijaribu kumzushia kajala kutoka na chibu wamechemka. .team wema wana funza kichwanMwanaume amwache mwenyewe, sasa hivi anaona maisha yake yameenda mbali anajaribu kuwatibua waachane akifikiri D atamrudia kama zile alizochezea akina Penny hajui ndio imetoka hiyooooooo....
Analo
Zari kuwa Dar ndionanazidi kuongia kichaa aaagh
Ila kiukweli diamond alikuwa kimya kitambo akifanya yake hawa team mavi ndio kutwa kumtukana...wakaona haitoshi bosi wao nae akaingia tena kwa speed..ht ingekuwa wewe ungekaa kimya utukaniwe mwanao...hahahaAliandika tiffah mbaya?
Wote hao wanatafuta attention tu ili watu wawajadili hawana mpya...... na wanawajua watz wamewajadili kuanzia insta fb hadi jf........
Huyu nae siku hizi kawa mswahiliiiiii....angetulia nae apate bwana wa maana kuruka ruka tu na usomi wakeBora hata Jokate ana amani kidogo....
Wewe usijihangaishe kufafanua team wema wako hivyo siku zote wanadandiaga tren kwa mbele ...We inaonyesha hujasoma habari yote au kama umesoma basi kuna kitu kinakuzuia kuukubari ukweli,habari inasema hivi alimsifia mtoto wa esma halafu shabiki mmoja akamuuliza je Tiffah akajibu si tungehama nchi haya ujaelewa au bado unajitoa ufahamu ??????
Ana moyo yani na waandishi juu anawaita kusema nyumba yake wakati sio huyu mtu ni fyatu kwakweli nikionaga hiyo clip nachekaSasa atulize ball....c alikimbilia kwa wanaojua kuhonga aache watu waenjoy life yao....heehe yn anataman hizo gudtym anazokula zari awe yeye....aende kwenye vigodoro ndio alikozoea na drama zake...ooh nyumba milion 400 ....waaaapiiii
Haswaaaaaaa homa imepanda...walijaribu kumzushia kajala kutoka na chibu wamechemka. .team wema wana funza kichwan
Mchuano mwengine mkali " Wema akiwa na 1.2 M followers Zari 1.1 M followers na speed yake ikiwa kali sana sijui nani atawahi kufila 2.5 M followers
Nadhani wema atawahi kufila....