babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
what would magufuri do.NI ugonvi wa maneno kati ya wema, Diamond na zari, wema alipost picha ya mtoto wa esma (dada wa diamond) akasifia kuwa mtoto ni mzuri sana kama pipi shabiki mmoja akauliza na tiffah? Wema akamjibu huyo shabiki "basi tungehama nchi" kwa ilivotafsiriwa kamaanisha huyo tiffah mtoto wa diamond angekua mzuri angehama nchi kwa direct maana tiffah ni mbaya, zari nae akatoa yake kuwa watu wasio na womanhood ndio wanaweza kumuita mtoto Mbaya..... Diamond ndo leo kamaliza kabisaaaa kaweka picha akiwa na mwanae akaandika "shika mimba uzae wako mzuri if you can" ligi ndo imefikia hapo hope umeelewa
wabongo mnapoteza muda mwingi sana kujadili upumbavu,hii mada inatusaidia nini nyie panyaz