Wema vs the chibu's ngoma inogile

Wema vs the chibu's ngoma inogile

Screenshot_2015-12-31-23-37-16.png


Ujumbe huu kwa akina .....na .....
 
Ana matatizo gani huyu kahab... Anashindwa nini mwacha Chibu alone.

Na binadamu timamu unaanzaje kashifu kiumbe kichanga kwamba kibaya. Huyu ma.@laya ana laana..
Nimekasirika.
 
Wema anitafute, mm napiga goli moja tu... mtoto anatoka kama mm baba yake copyright... pamoja na Wema ana matatizo ila mm nikimpiga 7.5 inch mua mmoja tu... TUMBO HILOOOOO... anitafute..!! Ila natumia condom...!!
Sa ukitumia dawa ya penzi hilo tumbo atalipataje
 
Lakini tumsamehe bure huyu mwanamke jamani. She's stressed, frustrated and confused. Mziki wa kutafuta mtoto si ki2 kidogo jamani. Kosa kila ki2 lakini si mtoto. Sometimes pia hii team yake ndo inaprovoke na kupelekea kutukanwa sana (though hajawahi kuonyesha kuikemea kwa namna yoyote so nae akitukanwa ni sawa 2)
Sa hivi amekua kama ana gundu coz kila sehemu anarukiarukia hata haeleweki tena.Chaaa! Kwisha habari yake
 
Nasikia ana mimba kweli alipewa kwenye zile KAMPENI ZA CCM....teh ..teh...teh...
 
Watoto wa Wema Sepetu Vanny na Gucci wakicheza valandani.
1451728952315.jpg

Mtoto wa Wema Sepetu Gucci akiwa amelala sebuleni
1451729005518.jpg
 
angenyamaza tu anazidi kujidhalilisha maskini, ila diamond nae angepotezea tu sema kaka angu yule mtoto wa tandale akasema ngoja amnyweshe juice ya ukwaju bibie dahhh wema atajibeba mwaka huu
Siku moja moja kujibu inapendeza, chaaa! Sio kwa uswahili aliouanzisha wema wa kurusha vijembe kwa diamond, kumbuka wema hajaanzia hapo, alianza na vile vijembe vya wanyama wote ndani balozi kasema, mara twendeni escape one tukaone tofauti ya msanii na mwanamziki, yote hayo diamond hakujibu, so binafsi nilipenda saana alivyomjibu, kwa hilo jibu moja tuu team wema woote wakapatwa na degedege. Yeye si anajiitaga mzungu uswahili hanaga?
 
Hakumuacha alimpa likizo bila malipo, On leave jamaa akapata kazi sehemu nyingine
Yani kwahili nimejifunza kwakweli sitakaa nitingishe kiberiti kwa mtu ninaempenda ntaishia kupata degedege kama wema
 
Yani kwahili nimejifunza kwakweli sitakaa nitingishe kiberiti kwa mtu ninaempenda ntaishia kupata degedege kama wema
Umeonaee alileta zile za sekondari, baby tupeane likizo ya miezi 6, kuja kutahamaki baada ya likizo kuna mwenzako ana mtoto
 
Umeonaee alileta zile za sekondari, baby tupeane likizo ya miezi 6, kuja kutahamaki baada ya likizo kuna mwenzako ana mtoto
Acha tu aweweseke kwakweli, kibuti cha hivo kinauma mnoo afu unakua huamini amini kama ndio it's over
 
Nimependa sana majibu ya shemeji yetu Zari,hakutukana mtu wala kuchombeza kaongea kistaarab but kahit kwenye jipu haswa...Zari ana busara sana kuliko huyo pashkenge la kitz...namshauri Diamond amuoe tu yaishe...
Amuoe mara ngapi? Ilishapigwa harusi ya kimya kimya tangu mwaka juzi
 
Back
Top Bottom