Wema we mzuri bana even without make up

ni shidaaaaa
 
Attachments

  • 1396679900684.jpg
    43.5 KB · Views: 239
Shujaaa wetu warumi tunashukuru umerudi wewe mtu muhimu sana katika jukwaa hili

Ni kweliii bila warumi au money stunna na baadhii hili jukwaa haliendii we unaona jukwaa lilivyochangamkaa hadi wa siasan wanahamia hukuuuu mchezooo umbeyaa mtamuuuuu
 
Ni kweliii bila warumi au money stunna na baadhii hili jukwaa haliendii we unaona jukwaa lilivyochangamkaa hadi wa siasan wanahamia hukuuuu mchezooo umbeyaa mtamuuuuu

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.......inabidi warumi tumpatie nyota tano aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…