god with us
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 391
- 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni shidaaaaa
Hahahaaa...ndio Shida ya umaarufu...
yap I'm backiiii
Jana nimeangaliaa my shoes aisee nimeamini Martin ni Pungaaa jinsi anavyoongeaaaa
Nitarud na mkanda mzima ngoja nikusanye data binamu
Heh!mbona kawa m-mama ana watoto wangapi kwani?
Episode ya ngapi niichek YouTube... lol...
Shujaaa wetu warumi tunashukuru umerudi wewe mtu muhimu sana katika jukwaa hili
Ni kweliii bila warumi au money stunna na baadhii hili jukwaa haliendii we unaona jukwaa lilivyochangamkaa hadi wa siasan wanahamia hukuuuu mchezooo umbeyaa mtamuuuuu
Utaiona tu itakua imeweka ya kwanzaa ambayo yupo na kiparaa ndio hiyooo
Ukiwa unatoa mimbaa watoto wanaenda wapiiiii
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.......inabidi warumi tumpatie nyota tano aiseeee
Itabidi aatumie nyota ya kijani sasa. Atawamaliza