Ni kweliii bila warumi au money stunna na baadhii hili jukwaa haliendii we unaona jukwaa lilivyochangamkaa hadi wa siasan wanahamia hukuuuu mchezooo umbeyaa mtamuuuuu
Acha unaa wewe hata hufai kwenye sekeseke unamwacha peke yake halafu hapa wajitia upande binamu hufaiii teh teh teh
Acha unaa wewe hata hufai kwenye sekeseke unamwacha peke yake halafu hapa wajitia upande binamu hufaiii teh teh teh
Sasa hakuniitaa mi nakuja kujuaa mchezo ushaishaa ningesaidiajee awe ananiita mapemaa maana mi siku hiz humu nna timu nyingii
Au vipiiiiiii
Na inazidi kuongezeka maana namie nimejiongeza...
Eeeh waniache nipambane mwenyewe maana siku nikipatana na adui yangu yeye ataona soo , aaah aaah , hili jeshi la mtu mmoja binamu
Sasa hakuniitaa mi nakuja kujuaa mchezo ushaishaa ningesaidiajee awe ananiita mapemaa maana mi siku hiz humu nna timu nyingii
Au vipiiiiiii
Binamu watu wanafiki sana unahangaika kuwatafutia news wanafurahi halafu kwenye ligi wanakuacha peke yako binamu ningekuwepo ningekusaidia maana hakuna anaenishinda huyo matola nilmtia adabu siku hizi anaandika comment fupi fupi tu usirudi nyuma kila mtu na maisha yake siku nyingine niite nikusaidie mi sipendi kumfurahisha kila mtu ndo mana sina unafiki....
Wakilianzisha tena usisite kuniita...
Umeonaaa eeeee na hatuachiiiiii
lusungo umetisha.. kula tanoBinamu watu wanafiki sana unahangaika kuwatafutia news wanafurahi halafu kwenye ligi wanakuacha peke yako binamu ningekuwepo ningekusaidia maana hakuna anaenishinda huyo matola nilmtia adabu siku hizi anaandika comment fupi fupi tu usirudi nyuma kila mtu na maisha yake siku nyingine niite nikusaidie mi sipendi kumfurahisha kila mtu ndo mana sina unafiki....
Wakilianzisha tena usisite kuniita...
Aaaah aaah sometimes wananizid nguvu maana wanakuwa wengi yaani duh halafu sioni cha Nani wala Nani , yaani hii Team yangu feki kabisa nashindwa kuielewa kabisa
Aaaah aaah sometimes wananizid nguvu maana wanakuwa wengi yaani duh halafu sioni cha Nani wala Nani , yaani hii Team yangu feki kabisa nashindwa kuielewa kabisa
Heh!mbona kawa m-mama ana watoto wangapi kwani?
Nawaonaga tu ukishambuliwa wanafurahia halafu huwa wanawamic maadui zako eti wanawapa raha watu viatu binamu
Aaah aah Sijui huyu kitasa au vp maana kila siku anataman kuzaa ila hazai
Hili nalionaga sema sipendagi kuliwekea maanani so naonaga sawa tu, yah uwa naona wanachekaga hao na kufurahi, ila Mimi nabaki kuwa warumi yani the only n one, I don't force people to defend me kama wakijisikia poa
Hamna lolote nakujua wewe ni mwepesi wa kusalimu amri na kuungana na Adui...