Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ni kweliii bila warumi au money stunna na baadhii hili jukwaa haliendii we unaona jukwaa lilivyochangamkaa hadi wa siasan wanahamia hukuuuu mchezooo umbeyaa mtamuuuuu
Acha unaa wewe hata hufai kwenye sekeseke unamwacha peke yake halafu hapa wajitia upande binamu hufaiii teh teh teh