Wendy Williams amekataa kuzeeka kabisa, miaka 58 lakini bado mbichi kabisa

Wendy Williams amekataa kuzeeka kabisa, miaka 58 lakini bado mbichi kabisa

🤣🤣🤣🤣kwa ubichi upi budah!!...😂😂😂 Cellulite sasa🙌🙌🙌
 
Wendy kalose Sana weight ndo maana ngozi imeshuka hivyo nadhani divorce,kufiwa na mama yake vilimchanganya Sana plus anaumwa,ana Graves disease.
Graves disease ndo ugonjwa gani huu enyi wazungu[emoji848]
 
Unasababishwa pale thyroid hormone inapozalishwa nyingi Sana kupita kiasi kinachohitajika mwilini (hyperthyroidism)
Eeh boss fafanua kila kitu kwa kiswahili basi[emoji16][emoji16]

Thyroid hormone ndo zipi?
 
Aliniacha hoi kuna kipindi fulani alikuwa ANAJAMBA wakati wa mahojiano kwenye kipindi chake cha the Wendy Williams show
 
Khaaa Zari nae asipoangalia ile surgery yake ya mdomo atakuja kuwa hivyo
 
Back
Top Bottom