Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo anaonekana hivyo yuko ulaya na ana pesa...Kinyaa kuna watu wana umri huo lakini bado wabichi kabisa unaweza sema ana miaka 35
Ww hujielewi au umezeweeka macho? Ubichi uko wapi hapo?Mange Kimambi wa mambele.View attachment 2320957
To yeye wangu nakupenda sana[emoji1787][emoji1787][emoji119]
🙄nilisema onyesha vitendo,mkono mtupu haulambwiTo yeye wangu nakupenda sana
Sema unataka nini maana nimekuuliza sana hutaki kusema[emoji849]nilisema onyesha vitendo,mkono mtupu haulambwi
Come on men!!😂😂aisee utakuta kuna mwamba anachakata hapo
Mange Kimambi wa mambele.View attachment 2320957