Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Je unapata muda wa kujikagua kimwili? Huwa unaangazia maeneo gani?
Rangi?
Uzito
Wepesi?
Afya ya ngozi?
Nywele?
Meno
Moyo
Via vya uzazi?
Kiroho je? Unapata nafasi ya kujichunguza?
Afya ya akili
Kinga za kiroho
Utimamu wa fikra
Uthabiti wa nafsi
Utulivu wa roho
Nina hakika wengi hawana huo muda
Ni kazini
Sehemu za starehe
Sehemu za soga
Wengine mazoezi kidogo
Nyumbani
Chakula
Simu
Kulala
No meditation.. Ama nususaa ya kukaa pekeyako bila simu bila distraction yoyoye.. Sehemu tulivu na yenye ukimya
Chumbani kwako ni sehemu sahihi sana kutokana na maisha yetu yalivyo.. Huko unaweza hata kuvua nguo zote na kujikagua mwili.. Ukifanya kwa utulivu utagundua vingi. Vingine mmh😀
Mitandaoni utaishia kugeuzwa fursa. Maana utasoma kuhusu skin care ambapo si lolote si chochote bali kuuziwa kemikali zenye madhara
Tiba ya kwanza na kubwa kuliko zote kwenye mwili wako ni chakula na chakunywa
Unakula nini, unakunywa nini
Kwanini na kwa wakati gani
Tiba ya kwanza na kubwa zote kiroho ni utulivu
Kipi ubakishe rohoni/nafsini.. Kipi ukiondoe
Kipi kifanyike kwa wakati gani kwa ukamilifu gani na kwa ukubwa gani
Kama ilivyo kwenye mwili watu hawajui wale nini na kwa kiasi gani kitamu atakula sana kibaya atakula kidogo .. Vivyo hivyo kiroho unachokifurahia utakifanya zaidi usichokifurahia hata kama kina manufaa utakifanya kidogo
Sumu zetu zinazotudhuru kimwili na kiroho tunazitengeneza wenyewe! Hatuweki viwango binafsi.. Hatujiwekei kiasi. Hatujipimii kipimo kimoja.. Hatujiwekei vipaumbele
Hebu jitafakari kwa haya machache! Jichunguze ulipopatia na ulipokosea